voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Sababu nyinyi wapika sumu sio wateuzi!Yeye alikuwa kimya hadi ikatokea, huyu kaanza kuhangaika kabla ya kutangazwa, hana kaba... Hafai.. kuna siku atasema yasiyosemwa
Endeleeni kubonyeza keyboard mpaka mwisho!
Makonda huyo hapo! Mwambiwni Kubenea aendelee kuumia!