Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

Yeye alikuwa kimya hadi ikatokea, huyu kaanza kuhangaika kabla ya kutangazwa, hana kaba... Hafai.. kuna siku atasema yasiyosemwa
Sababu nyinyi wapika sumu sio wateuzi!
Endeleeni kubonyeza keyboard mpaka mwisho!

Makonda huyo hapo! Mwambiwni Kubenea aendelee kuumia!
 
he was removed technically and without fear of contradiction he will be right back in place soon, technically politically speaking....

Nope, he was removed because he did something that was out of his job description.
It was not fear of contradiction , he crossed the lines he was not suppose to cross and he paid for it.
Of course maybe he will return but under new boss, new game rules, new lines, not that the difference
 
thanks for addimiiting that he will be right back to the system wherever under whom, and that's politics....
 
Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni.

Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote anaodhania watakuwa watiifu kwake.

Tayari faili la bwana mdogo Ally ameliitisha mezani. Na duru zinatabanaisha ni swala la wakati tu bwana mdogo yule atajumuishwa.

UWEZEKANO WA MUUNDO WA UONGOZI WA CCM SIKU CHACHE ZIJAZO:-

Mwenyekiti: Samia Suluhu Hassan

Katibu Mkuu: Paul Makonda

Katibu Mwenezi: Ally Hapi

Nafasi za ngazi zingine zitabaki na watu waliopo.

Onyo!

Yule mpayukaji na mlima MTAMA anatafutiwa angle tu wale kichwa! Asiyegusika ameshalia kwa boss na kumwambia asingependa kufanya naye kazi.
Mtajua wenyewe huko
 
angekuwa Br. angeandika hivi
"sawa Ally Hapi umesikika utapata teuzi"
 
Sababu nyinyi wapika sumu sio wateuzi!
Endeleeni kubonyeza keyboard mpaka mwisho!

Makonda huyo hapo! Mwambiwni Kubenea aendelee kuumia!
Mimi si hao unaowadhania
 
Back
Top Bottom