Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

Wanaume kwa fix mmh....eti DNA[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kujiandaa kisaikolojia kwani unaletewa fisi ufuge? We jilazimishe hakikisha anapata chakula, mavazi, malazi na elimu kama wanao. JILAZIMISHE maana kumpenda mtu si uamuzi. Hatuchagui kupenda. Si lazima umpende, ila mahitaji yake ni lazima.
Eti unaletewa fisi ufuge, mbavu zangu mie lol[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wanapima tabia yako wamejiridhisha hawana shaka nayo thus walichelewa.Mpokee mwa moyo mweupe show love usimbague hakuna ajuae kesho yake nani atakulea

Mtendee wema kesho yako uijui hata watoto wako wanaweza kuja lelewa na mama wa kambo ya kesho atuyyajui kama ambavyo Sabaya na bashite awakutegemea kuwa raia wa kawaida leo.
Kweli hakuna aijuae kesho yake. Hapo ulipowataja S na B ni mfano halisi ya namna watu hatujui kesho yetu
 
Ubinafsi sina kwa kweli. Ningekuwa nao nisingekubali hata aje. Mama wa mtoto wala hayuko kwenye picha na hata malezi mtoto kalelewa na grandparents kuanzia mapema kabisa less than 3 years old.
Sasa hivi huyo mtoto ana miaka mingapi? Kike au kiume?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Uchoyo tu unakusumbua huna lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana anaweza kuwa na point
Malezi yanatofautiana sana, kwa mtoto aliyelelewa bila wazazi anaweza kuwa na vijitabia vya tofauti tofauti

Binafsi najitahidi sana kulea wanangu kwa mfumo wangu, huwa napata tabu nikipata ugeni wa watoto wengine wakija lets say holiday wakachanganyikana na wanangu, huwezi ukawafokea wanapokosea , na punde wakirudi makwao unakuta wanao wamesha adopt vijitabia vingi vipya kutoka kwa wageni , hasa kusema uongo.
 
Ole wako uanze kutesa mtoto wa mwenzako .UJUE na wako atateswa jua kabisa lkn ukamlea kwa roho safi bila UBAGUZIIII basi jua Mungu yuko pamoja na weye jaribu kuwa MUADILIFUUUUUUU.
 
Wa kike ana 10+ years? Alikuwa analelewa na nani be4 kuja hapo kwako?

Kama katoka kwa mama ake jiandae[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] babaako ndo shida kwanini hatulii na KE mmoja?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru umenielewa. Kila mtu ana parenting style yake. Kuna watoto wengine aiseee unakuta wakorofi balaa.
 
Nimechoka haswaa...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]huyu kaka
 
Wa kike ana 10+ years? Alikuwa analelewa na nani be4 kuja hapo kwako?

Kama katoka kwa mama ake jiandae[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hajatoka kwa mama yake. Kwa mama yake alitoka akiwa na 2 and a half. Mama yake hana muda nae kabisa na wala hajishughulishi kwa lolote hata kwenda kumsalimia. Ni wa kike
 
Weee mlee km hayo ya bond ni wazungu sisi tunaangalia anakula anavaa nguo safi anaenda shule hayo ndiyo mahitaji muhimu sana kwa huyo dogo.
 
Hajatoka kwa mama yake. Kwa mama yake alitoka akiwa na 2 and a half. Mama yake hana muda nae kabisa na wala hajishughulishi kwa lolote hata kwenda kumsalimia. Ni wa kike
Mama yake ameolewa??

Kama hajatoka kwa mama ake utaishi nae vizuri kabisa

Wee cha kwanza muoneshe upendo tu, atacopy fastaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…