Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Hii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!

Na kama ni hivyo....

CCM watakuwa wameingia choo cha kike,sababu huyo Sophia mjema alikwisha prove failure kwenye teuzi ile ya kwanza.

Hawezi kuendana na kasi inayokuka ya siasa za majukwaani kwenye uhuru wa vyama vyote.

Labda Samia anataka taifa hili liwe la "KE" territory na inayoenda kuangukia Pua.
 
Ana jipya? Huyu Mjema Hana jipya
Huko CCM ni kama wamevurugana baada ya kujua sasa yanayokwenda kutokea ni balaa la gharika ya kisiasa. Walikuwa wanapambana na bondia aliyefungwa miguu sasa kakata kamba hivyo Ata fly like a butterfly and sting like a bee! Ni kipigo tuu. Na kapiteni anatua 25/1

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!

Na kama ni hivyo....

CCM watakuwa wameingia choo cha kike,sababu huyo Sophia mjema alikwisha prove failure kwenye teuzi ile ya kwanza.

Hawezi kuendana na kasi inayokuka ya siasa za majukwaani kwenye uhuru wa vyama vyote.

Labda Samia anataka taifa hili liwe la "KE" territory na inayoenda kuangukia Pua.
Ona hii
IMG-20230114-WA0021.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu

Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.

===

Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
Na Vipi KM??
 
Hongera Sana Mohamed Said kwa teuzi.
 
Sijapenda kabisa Kwa Shaka kutolewa
 
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu

Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla .
Anaweza kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wakuu wa Wilaya yanayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni na watakaonufa nazo watendaji ndani ya CCM
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu

Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.

===

Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
 
Attachments

  • VID-20230114-WA0009.mp4
    12.7 MB
Back
Top Bottom