Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Labda kaponzwa na kauli yake ya "tuzaane tujaze nchi Mama atasomesha"Shaka Hamidu au Nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kaponzwa na kauli yake ya "tuzaane tujaze nchi Mama atasomesha"Shaka Hamidu au Nani
Huyo anaenda kuwa mkuu wa mkoa.Akapewe ubalozi kama Ilivyo hadi.
We nae,kwa hiyo chadema ndio chama pekee cha upinzani?Hata Sophia hamna kitu , huyu hawezi kupangua Spana za Chadema
CCM yenyewe ni "choo cha kike".Hii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!
Na kama ni hivyo....
CCM watakuwa wameingia choo cha kike,sababu huyo Sophia mjema alikwisha prove failure kwenye teuzi ile ya kwanza.
Hawezi kuendana na kasi inayokuka ya siasa za majukwaani kwenye uhuru wa vyama vyote.
Labda Samia anataka taifa hili liwe la "KE" territory na inayoenda kuangukia Pua.
Unasemaaaa!!!Connection ni nini? You are not suggesting, no, you are not suggesting something terrible are you?
Ndugu Chakaza , kwa CCM hii ya sasa, ni nani ambaye ni mwenye uwezo ambaye akiteuliwa ataitendea nafasi yake haki!!??Lile tutufe? Siasa za sasa za kisomi haziwezi yule!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mhhh!!!
😆😆😆😆Dah sasa hv ukikosa data siku moja tuu utashangaa nchini uko pekee ako kumbe wenzako wamelipwa pesa ya nchi kuuzwa
Ukabila hauna maanaMkoa wa Kilimanjaro umetoa viongozi wawili waandamizi chamani. Macha na Mjema. Wachaga na wapare oyeee
Unawapangia?CCM wamebugi Sana
Ccm Huwa wanashangaza sana au pengine Kwa kuwa wanajua wataiba kura au?
Unawezaje kuwatoa watu wenye ushawishi na wanaojua kujenga hoja kama kina Shaka na Bulembo ukawela hao wengine wasiojua kujieleza?
Vipi anaweza au kiuno kigumu Kama madem wa chuga!?Huyu dada watu Wana video zake nyingi za CONNECTION...... kuanzia kesho zitakuwa vinavujishwa moja baada ya nyingine
Kapanda au kashuka ?RC Mbeya
Katibu mkuu ccm kazi yake kuhubiri jukwaani!?...teuzi ni wingi umoja wake ni uteuzi,hongera kwa kujua ccm wanahitaji nini kuliko ccm wenyeweHii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!
Na kama ni hivyo....
CCM watakuwa wameingia choo cha kike,sababu huyo Sophia mjema alikwisha prove failure kwenye teuzi ile ya kwanza.
Hawezi kuendana na kasi inayokuka ya siasa za majukwaani kwenye uhuru wa vyama vyote.
Labda Samia anataka taifa hili liwe la "KE" territory na inayoenda kuangukia Pua.
Anaweza Siasa za saiti, sio za kufundishia darasani, uliza Sophia mjema alishawahi kufanya mjadala wapiLile tutufe? Siasa za sasa za kisomi haziwezi yule!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Bado hujaamini tu ?Hii ni tetesi till habari rasmi itakapotangazwa na credible source!