Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Shaka alishaanza kufit kwenye uenezi...kweli mambuzi mmepoteza poleni🤣
Uzuri wa Shaka alikuwa na wisdom, hajawahi kujichanganya kwa maneno ya ama matusi au dhihaka...Ameweza ku manage emotion yake vizuri sana...Ila was a bit shy, kama vile alikuwa hajiamini amini kidogo...Ama pengine alikuwa hajawa na experience ya kutosha...

Tunamshukuru sana kwakua hakukiingiza chama kwenye migogoro na mivutano ya kijinga
 
Uzuri wa Shaka alikuwa na wisdom, hajawahi kujichanganya kwa maneno ya ama matusi au dhihaka...Ameweza ku manage emotion yake vizuri sana...Ila was a bit shy, kama bile alikuwa hajiamini amini kidogo...Ama pengine alikuwa hajawa na experience ya kutosha...

Tunamshukuru sana kwakua hajikiinhiza chama kwenye migogoro na mivutano ya kijinga
Sahihi jamaa alikuwa na kaustarabu cha kizanzibar.
Kwa Mjema tutegemee mipasho ya kijinga.
Chongola sina tatizo naye ni mtu muungwana sana
 
Wafanye na kwa mawaziri vile vile kuongeza accountability, huwezi kuwa mtendaji at the same time msimamizi...NEC ndiyo wanajadili utendaji wa mawaziri hao ambao wamo humo wanawezaje kujijadili?

Yap ni good move.
But for me mawaziri wasingekuwa wanasiasa kabisa wawe professionals no need for permanent secretaries.
Then Mnec asiwe mbunge wala mtendaji serikalini
 
Yap ni good move.
But for me mawaziri wasingekuwa wanasiasa kabisa wawe professionals no need for permanent secretaries.
Then Mnec asiwe mbunge wala mtendaji serikalini
Ma Katibu wakuu ni muhimu ila wakurugenzi siyo lazima maana wapo huko local government.....Tugatushe madaraka, wizara iwe small na compatible kwaajili ya sera tu na kuratibu utendaji wa wakurugenzi wilayani ikisaidwa na teknolojia ya TEHAMA...Watendaji wote waende grass root wilayani na kijijini...Ofisi za utendaji vijijini ziimarishwe na kupewa watendaji wote na waratibu utendaji huko then budget iwe executed kijijini na siyo wilayani...DED atoe tu miongozo na kusimamia watendaji wa vijiji vilivyopo wilayani....Mambo ya tarafa na kata vifutwe kupunguza urasimi na tuimarishe council zetu ili maamuzi yaweze kufanyika haraka na effectively..


Cheo cha mkuu wa Mkoa kifutwe tuwe na wanaochaguliwa na raia ili kuongeza accountability...Rais abakie na ma RPC na RCOs kwa security issues nao wawe ndiyo wana chair hizo meetings ili kuondoa security issues kwenye siasa na kupunguza state capture inayotokea kwa wanasiasa kuwatumia security personnels kulindana wao kwa wao
 
Back
Top Bottom