Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
umewahi kusikia John Momose Cheyo anaipinga CCM ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umewahi kusikia John Momose Cheyo anaipinga CCM ?
[emoji38][emoji38][emoji38]Dkt Sophia Mjema amechukua nafasi ya Shaka Hamdu Shaka, yeye ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
Sophia anakuwa mwanamke wa kwanza kushika nafsi hiyo.
Wanaomfahamu wanaelewa kwamba Sophia ni mtu wa kazi, mtu wa siasa. Mwaka 2020 alionesha vizuri uwezo wake kwenye siasa za chama alipotaka Ubunge wa Ilala na kuleta upinzani mkubwa kwa Zungu.
akiwa Mkuu wa Wilaya katika maeneo yote aliyopita nako hakuwa mtu wa kupoa.
Wakati huu ambapo Mikutano ya Siasa itafanyika, wapinzani watarajie mtu makini zaidi na mtata kuliko Shaka.
Kila la kheri, sophia ni mtendaji makini ni pigo kwa vyama vya upinzani.
Kadhalika chapa ya jogoo Magomeni Usalamaumewahi kusikia John Momose Cheyo anaipinga CCM ?
CCM imeelekea kaskazini na Zanzibar sasa. Ngoja kanda ya ziwa waje na lao.Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
---
Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa Leo imekutana na kufanya UTEUZI wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo,
====
1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu
2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa
4. Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
5. Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha
6. Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa
7. Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
Mbowe ana jipya gani ?lema anarudi lini ?Ana jipya? Huyu Mjema Hana jipya
Mali ya mutu ze msogazzzzz kheAna jipya? Huyu Mjema Hana jipya
Shaka Hamdu Shaka anaenda kuwa Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii/ TAMISEMIAnachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
---
Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa Leo imekutana na kufanya UTEUZI wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo,
====
1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu
2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa
4. Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
5. Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha
6. Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa
7. Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
Labda wanampa ubunge kisha uwaziriNaona wameruhusu mikutano ya siasa wanabadilisha na Katibu Mwenezi, wameona watafute mtu wa kuendana na kasi ya upinzani, waachane na mentality za kichawa..
Shaka alikuwa "mweupe" sana.
Kichaka Hamdu Chaka alikuwa chaka kweli kweli tena chawa.Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
---
Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa Leo imekutana na kufanya UTEUZI wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo,
====
1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu
2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa
4. Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
5. Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha
6. Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa
7. Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
Acha bangi, tunamzungumzia Mjema sio Kamanda Mbowe Wala Lema acha mihemkoMbowe ana jipya gani ?lema anarudi lini ?