Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

..tatizo ni kwamba amesalimu amri na kuamua kwamba Katiba Mpya na Tume Huru ni ajenda ya Chadema.

..Kwa mfano, sijawahi kumsikia akichangia hoja yoyote kuhusiana na mabadiliko ya kikatiba anayotamani yatokee Tanzania.
Anaweza kuiteka tu hiyo agenda na kuipeleka kwa maslahi ya taifa...So far she has nothing to loose kama atakubali but ku gain all...Tatizo ni wale wenye agenda zao binafsi ambao wanamzunguka...Akubali kusimama kama Amiri Jeshi Mkuu
 
Aisee shaka mzee wa kitaulo out, bora maana alikua hajui cha kusema anaropoka tu hovyo
Daah mchawi mchukie haki yake mpe...Shaka ameropoka lini na kitu gani?

He was very calm and composed....Alionyesha heshima sana kwa viongozi wake wote tena hata watanzania aliwaheshimu kwenye maongezi yake
 
Nikiona mtu anazungumzia katiba Mpya wakati Rais akiwa madarakani namuona hayupo serious
 
Huyu mazaa ni chuma ile laana🔥🔥.... huu ni uamuzi sahihi kabisa. Nitakuwa naangalia press zake zote. Mwenyekiti kafanya kitu sahihi sana. Katibu mwenezi kama Chiligati na Polepole walikuwa hawana mvuto.
 
Back
Top Bottom