binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😅😅Ameongea binti kiziwi mimi nani nipinge?😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅Ameongea binti kiziwi mimi nani nipinge?😅
Anaweza kuiteka tu hiyo agenda na kuipeleka kwa maslahi ya taifa...So far she has nothing to loose kama atakubali but ku gain all...Tatizo ni wale wenye agenda zao binafsi ambao wanamzunguka...Akubali kusimama kama Amiri Jeshi Mkuu
Kitu cha Bosnia hicho tuna dossier yake akijichanganya tu kaisha.
Ndo maana nilishanga katibu uenez kugombea u NEC, nadhan alikuwa anajiandaa..Huyu kawa MNEC
Sema matusi ya chadema utaeleweka zaidiHata Sophia hamna kitu , huyu hawezi kupangua Spana za Chadema
Mzinga wa asali ummempitia na yeyeHuyu dada watu Wana video zake nyingi za CONNECTION...... kuanzia kesho zitakuwa vinavujishwa moja baada ya nyingine
[emoji38][emoji38][emoji38]Dah.. Vile vichwa vilivyokuwa vinajipitishapitisha mitandaoni vimeliwa vyote
Kwani chadema mnalipi jipyaa? Zaidi ya yule jamaa yenu kuja kutuhubia ushuhuda wa mambo yake??
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi mnielimisheni wadau. U RC na uenezi kipi ni zaidi
Uenezi, kwakua Uenezi ni ndicho chama chenyewe chenye mamlaka ya kuunda serikali (mwenye nyumba) na u RC ni utendaji wa serikali (house girl au shamba boy)Hivi mnielimisheni wadau. U RC na uenezi kipi ni zaidi
Uongo hautakufikisha popoteHuyu dada watu Wana video zake nyingi za CONNECTION...... kuanzia kesho zitakuwa vinavujishwa moja baada ya nyingine
Kuhusu Silinde , ni kwamba Mama alishasema kwamba hawaamini WasalitiHii nafasi ya Uenezi inamfaa sana Polepole, ila Mjema au Shaka hakuna kitu kabisa hapo, au wangenipa mimi hapa Jay One au Naibu waziri David Silinde..
Mimi ningepewa hii nafasi hakika naapa, CCM ingekuwa na nguvu ya kipekee na wananchi wote hadi wapinzani wataipigia kura CCM kwa wingi sbb ya hoja nzito na za kueleweka nitakazo mshauri Mwenyekiti ili nipite majukwaani kusema na umma wa Watanzania.