The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Comrede Homera anaenda wapi? Atapigwa chini au?RC Mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comrede Homera anaenda wapi? Atapigwa chini au?RC Mbeya
Lkn naye akaishia kuwapa vyeo watoto wa dada yake tu.Makubwa Haya
Jiwe Alisema Ndugu Zangu Vyeo Vipo Vingi Sana
Duuh pole yao...hawawezi kujibu hoja za Lissu hawa
Bulembo alistahili
Hata huyu dada ni "mweupe" sana na "mtamu" kweli kweli kwenye viwanja.Naona wameruhusu mikutano ya siasa wanabadilisha na Katibu Mwenezi, wameona watafute mtu wa kuendana na kasi ya upinzani, waachane na mentality za kichawa..
Shaka alikuwa "mweupe" sana.
Ulitaka ateuliwe mama akohakuna kitu hapo
Kwanini ?hakuna kitu hapo
Shaka alizidi.Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Mohamed Said Mohamed Dimwa ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
Wamebugi sana kumtoa Shaka Hamdu Shaka,
Jamaa alikuwa anaisaidia sana CCM,
Shaka ni hazina kwa Chama, Why aachwe?
Hata Sophia hamna kitu , huyu hawezi kupangua Spana za Chadema
Akapewe ubalozi kama Ilivyo hadi.Shaka alikuwa mtu na nusu