Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Nimekubali nimekubali mkuu... Gitaa analipiga vema kabisa.. mpaka moyo unashangiliaUsikilize huo Wimbo wa 'Inde Monie' Mkuu kisha lisikilize hilo Solo Gitaa la Fundi Mwenyewe 'Dally Kimoko' lilivyo tamu ambapo linaweza Kukufanya hata ukiwa na Mwanamke / Mwanaume Kitandani ukasahau Kutumia 'Condom' na ukasababisha Maturubai ya Maombolezo yawekwe katika Familia mbalimbali nchini Tanzania.
Ahahahah wewe jamaa fitnah sana!!Mkuu 'Dally Kimoko' analijua Solo sana.
Hapana mkuu.Naona unamfahamu vyema kuliko huyo unayemuuliza. Utakuwa na sababu nyingine ya kuuliza.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Gone too soon my friend. Pumzika KWA amani Sophia NyerereView attachment 1871648
Vyema kiaje yani?Duh! Huyu alikuwa anafanya vyema kwenye hii Familia nae katoka tena.
Ukiwekewa oksijeni tayari hali ni mbaya. KWa hiyo kufa si sababu ya kuwekewa oksijeni bali oksijeni waliyokuwekea imeshindwa kuku rescue.Uongo wangu nini maana case za wengi ku survive huwa ndogo hata kwa ndugu yangu ilitokea baada ya kuwekwa humo na hakutoka salama hata kwa hawa wa covid asilinia kubwa tu
Waliokupeleka shule waliuza n'gombe kupeleka ng'ombe ingine shule. Anayewekewa oksijeni tayari ana hali mbaya, kwa maana level ya oksijeni ipo chini. Na level ya oksijeni haipimwi kwa macho kenge wewe😂Wengi wanaowekwa kwenye oxygen wanakata moto, tumieni JPM methods kwenye Corona, fukiza, tumia dawa za dukani , na zetu za asili. Oxygen inamaliza watu, hata ukipona mapafu yanabaki na damage kubwa sana, ukipata infections yeyote unaondoka
Anafanana na Shangazi yake Rose Nyerere ambaye naye alifariki mwaka jana. RIEP.
Yaani Huyu ndio angalau alikua anainuka inuka dah...So sad...Nyerere kweli moto hauzai moto.
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.
RIP
Mzena ?? Hivi kina yakhe wanafika Mzena au Sir Name kwanza?
I bet, angekuwapo babu yake asinge ukubali huu utopolo.
ndio iue wagonjwa?Hospitali ya kitengo hiyo ipo miaka nenda rudi
Kuna hospitali inayoua wagonjwa au inayoweza kuzuia kifo?ndio iue wagonjwa?