TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

Hii mzena inaua sana, madaktari wa pale inabidi wachunguzwe kama wana kidhi vigezo vya kuhudumu hapo.
Si kweli.
Huduma zao ni bora sana na madaktari wako njema kabisa.

Mgonjwa akiwa amefikia stage ya kutumia oxygen sote tunajua probabilty ya kupona ikoje. Tena mazingira yake ni masafi mno kuliko ambavyo ufikiriavyo. Mtu ameshahangaika na maradhi yake muda huko ajabu ni nn kusikia kifo. Au kisa ni watu mashuhuri unasikia vifo vyao? Hospitali anayotibiwa mpaka rais wako waweza ibeza kweli? Ni kama tuanzealamika muhimbili mbona wanakufa sana ila hujui ni maradhi gani yanachukua uhai wao
 
Yakhe ni nani ?

Kina yakhe ndiyo kina sisi
1.tunaolipa kodi na tozo lukuki,
2. tunaojigharamia matibabu yakiwamo ya Corona
3. tunaochagiza uwepo wa katiba na maridhiano.
4.ambao hatuishi kubabikiziwa kesi
5. tuliofanywa kuwa raia daraja la pili ndani ya nchi yetu wenyewe.
6. Nk?

Nyie vigogo na jamaa zenu mnaotibiwa Mzena, kwani hata kodi zinawahusu?

 
Aliianzisha Babu yake huyo huyo kwa ajili ya watu maaalumu

Hawakukosea waliosema "the dead stay dumb." Acheni kumwekea maneno na majukumu marehemu.

Your browser is not able to display this video.


Labda Julius mwingine lakini si huyu aliyekuwa msema kweli daima na ambaye fitina na ubaguzi kwake zilikuwa Mwiko.

Acheni kumchanganya JKN na JPM. Tofauti zao zilikuwa kama rocket na bajaji.
 

hiyo inaitwa kusambaza hisia kwa ndugu na majirani
 
Uongo huo unafanya ndugu walazimishe madaktari kutokuwapa wagonjwa wao oxygen. Eti oxygen inaua... Ni UONGO. Oxygen kwa kiwango anachopewa mgonjwa hospitali hawezi kuua.
I think you got her wrong! Siyo kwamba oxygen ndiyo inaua bali oxygen inaashiria mgonjwa tayari yuko kwenye critical point hivyo kuna uwezekano asipone.
 
Haujui arguments za watu. Sisi ambao tuko hospitali tunayaona haya. Baadhi ya ndugu wa wagonjwa wanalazimisha oksijeni itolewe kwa wagonjwa wao eti inawaua!!
I think you got her wrong! Siyo kwamba oxygen ndiyo inaua bali oxygen inaashiria mgonjwa tayari yuko kwenye critical point hivyo kuna uwezekano asipone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…