My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Naunga mkono hoja, hata Marando ni jasusi hatari Sana na ndo alitumika Kwa mlango wa nyuma kumtoa Dr Mihogo chadema.Mkuu binafsi kwanza sikutaka kumuamini huyu rafiki yangu mpaka yalipotokea ndio nimemuamini. Kuna baadhi ya mambo huwezi kuyasema kabla ya tukio
Umenena mkuu...........hata Zitto alitimuliwa bila kupewa nafasi ya kujieleza..........CCM nao hvyovyoMkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"
Mkuu hii ni hatari sijui nchi hii inaelekea wapi. Nimeona mwenyekiti wa CCM wakati anafungua mkutano wa leo amesema maneno ambayo yanaonyesha kuwahukumu baadhi ya wanachama kabla hata mkutano haujaanza. Kwa hiyo kama (Mh. Humphrey Harakaharaka) anasema "Kikao kwa sauti moja............kimeamua" sijua inakuwaje. Wakati inaonyesha mwenyekiti alikuwa ameshaelekeza hukumu. Hivyo inaonyesha wajumbe walifata amri tu. Na hivi wanaogopa kupunguzwa kesho hiyo ndiyo kabisa. Sasa kuna chama gani kinafaa mkuu? Chadema kuna wababe pia Zitto alitimuliwa, na CUF ndiyo balaa kabisa bora hata hao waliofukuzwa CCM nafikiri watakubali kwa shingo upande. Lakini walifukuzwa CUF wamekataa kuondoka, wameng'ang'ana na mpaka sasa wanaendesha chama kibabe. Na mpaka ruzuku wanaendelea kuchukua. Duh siyo mchezo!Mkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"
Mkuu hii ni hatari sijui inchi inaelekea wapi. Nimeona mwenyekiti wa CCM wakati anafungua mkutano wa leo amesema maneno ambayo yanaonyesha kuwahukumu baadhi ya wanachama kabla hata mkutano haujaanza. Kwa hiyo kama (Mh. Humphrey Harakaharaka) anasema "Kikao kwa sauti moja............kimeamua" sijua inakuwaje. Wakati inaonyesha mwenyekiti alikuwa ameshaelekeza hukumu. Hivyo inaonyesha wajumbe walifata amri tu. Na hivi wanaogopa kupunguzwa kesho hiyo ndiyo kabisa. Sasa kuna chama gani kinafaa mkuu? Chadema kuna wababe pia Zitto alitimuliwa, na CUF ndiyo balaa kabisa bora hata hao waliofukuzwa CCM nafikiri watakubali kwa shingo upande. Lakini walifukuzwa CUF wamekataa kuondoka, wameng'ang'ana na mpaka sasa wanaendesha chama kibabe. Na mpaka ruzuku wanaendelea kuchukua. Duh siyo mchezo!
Mkuu uwazi na ukweli "uko" TBC. Ndani ya vyama tanzania hakuna uwazi na ukweli na haijalishi ni chama gani. Kila chama kina wababe wake na wanachama wavumilivu. Umesikia leo Polepole akisema "Kikao kwa sauti moja............"
Mkuu hii ni hatari sijui nchi hii inaelekea wapi. Nimeona mwenyekiti wa CCM wakati anafungua mkutano wa leo amesema maneno ambayo yanaonyesha kuwahukumu baadhi ya wanachama kabla hata mkutano haujaanza. Kwa hiyo kama (Mh. Humphrey Harakaharaka) anasema "Kikao kwa sauti moja............kimeamua" sijua inakuwaje. Wakati inaonyesha mwenyekiti alikuwa ameshaelekeza hukumu. Hivyo inaonyesha wajumbe walifata amri tu. Na hivi wanaogopa kupunguzwa kesho hiyo ndiyo kabisa. Sasa kuna chama gani kinafaa mkuu? Chadema kuna wababe pia Zitto alitimuliwa, na CUF ndiyo balaa kabisa bora hata hao waliofukuzwa CCM nafikiri watakubali kwa shingo upande. Lakini walifukuzwa CUF wamekataa kuondoka, wameng'ang'ana na mpaka sasa wanaendesha chama kibabe. Na mpaka ruzuku wanaendelea kuchukua. Duh siyo mchezo!
Hili sakata la wanachama wa CCM waliopewa adhabu mbalimbali na kufukuzwa mbona halielezi sababu? Je hao wanachama walipewa nafasi za kujieleza na kujitetea kwa tuhuma zao? Au wamefukuzwa na kuadhibiwa kwa kuwa na fikra tofauti ambazo hazikubaliki na mwenyekiti wao. Mpaka sasa inaonekana taarifa za kuadhibiwa tu bila kuelezwa walifanya nini mpaka uamuzi huo ukakafikiwa. Mimi nilifikiri CCM wana uwazi lakini kumbe sivyo hivyo hii kweli ni demokrasia nzuri.
Nashangaa fagio halijampitia Bashite
Hawezi kumtoa. Bashite. Maana yy ndio fitna kubwa. Kamfanyia mwenye kiti. Kinondon. Madabida sababu apewe nafasi yy. Sasa tunasema watoto wa mjini. Jogoo la shamba aliwiki mjiniNashangaa fagio halijampitia Bashite
Itakuwa una akili za hovyo kama za mwenyekiti wako kujifanya anajua kila kinachotokea duniani ili kujustify roho mbaya yake. Mtafute Nikki Haley alikuwa ana masimamo gani wakati wa movement za Trump na Trump aliposhinda imekuwaje. Trump alipingwa waziwazi kwenye harakati zake lakini aliposhinda wengine kawapa uwaziri na hajamfukuza chama hata mtu mmoja. Akili za kiafrika hata kwenye kucha hazijai. Kweli dunia ya leo unataka kila mtu akusujudie?Walijitakia CCM isingetoa mfano kwa matendo waliyofanya ndio ingekuwa jambo la kushangaza; hakuna chama cha siasa duniani kingeweza vumilia ukosefu wa nidhamu kiasi kile.