Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Sina Pesa ya kukupa na umasikini wangu, true love is the only thing i can to you my love 😘

Ninakupenda mnoo cha utundu wewe. Nilikwambia PM kwa kutumia ID ile na sasa ninakuambia kwa ID hii..
Ignore list tayari ufungue na nyingine pimbi wewe
 
Huyu mwamba ana wanyoosha wananchi wake kama Mwalimu Nyerere, TV zilipigwa marufuku na mambo mengine ya kipuuzi ya kijamaa.

Sometimes naonaga wajamaa kama vile ni watesi wa wananchi
Huyo mwamba huwa anapiga marafuku tu kwa wananchi kawaida, ila elite class inayoish mji mkuu wanaruhusiwa
Double standard ni kubwa sana
 
Wewe ni mkorea?unaacha kuandika habari za msingi za nchi yako unapamia za Wakorea ambazo hazikuhisu,
Bure kabisa!!!
 
Sisi na Korea Kaskazini ni MAZOMBI wa WATAWALA. China na Urusi kuna ka unafuu kidogo. WATASHI O SHINJITE.
China na Urusi kuna unafuu kidogo kuliko Tanzania???? Are you serious?
Kwa taarifa yako, China na Urusi kuna tawala za kidhalimu na za kidikteta sawa sawa na Tanzania au Korea ya Kaskazini, hakuna nchi yenye unafuu. Aidha, China ndiyo nchi inayoongoza kwa Sasa hapa duniani kwa kuua au kunyonga Watu wengi zaidi nje ya Mfumo wa Mahakama zikifuatiwa na nchi za kiArab kama vile Pakistan, Iran, Afghanistan, n.k. Nchini China au Urusi ukithubutu kuukosoa Utawala uliopo au kumkosoa mtawala yoyote yule kitakachofuatia ni mkosoaji kutekwa na kisha, kuteswa sana na mwisho wake atauawa. Nchini China au Urusi, kumkosoa mtawala yoyote yule hususani Rais wa nchi ni sawa sawa na kujikatia tiketi ya kifo.

Ukiwa nchini China au Urusi, ukimkosoa Rais wa nchi hizo lazima utambue ya kwamba utaadhibiwa kwa kuuawa, aidha utauawa kwa kutekwa na kuangamizwa au utauawa kwa kuwekewa sumu kwa Siri ili ufe. Mapolisi wa Siri au Mawakala wa Siri kutoka kwa Magenge ya Ujasusi ya Serikali huwa wako busy Sana kufanya kazi hiyo ya kuua Watu wakosoaji wa Serikali. Take a great Care!
 
Noted.
 
Hivi hakuna raia anaweza akajitoa ufahamu akamla kichwa?

akijitoa kafara mtu mmoja ni kama katoa kafara ukoo.. watateswa had panya walioko nyumbani kwake.. narudia kusema "Ukoo sijasema familia ' north Korea kumbuka kusafiri tu ni lazima upate kibali ukijifanya umetoroka ukavuka boda na ukikimbia nchi kisha wakakukosa au wakakukamata wewe na UKOO WAKO vyote vinavyohusika na ukoo wako hadi mifugo..watapata tabu maisha yao yote yaliobaki.. ( wanapelekwa kwenye camp za kilimo na ujenzi kazi yao ni kulima na kujenga hadi dunia iishe)

hata kama kuna mtu mjamzito mtoto akizaliwa anaingizwa kwenye utumwa huo.. ndo maana watu hawathubutu maana wanajua atakuwa amesign death sentence kwa kizazi chake cha sasa na kijacho

fikiria uko mji mwingine wazee wa serikali wanakuja kukuchuka na familia yako mnapelekwa kwenye camp za mateso kisa kaka yako ambaye yuko mji mwingine amefanya kosa la kutaka "ku defect" yaani kitendo cha wewe kuwa na nasaba naye tu inakucost wewe na familia yako..

hiyo staili ipo toka enzi ya baba yake kim na alifundishwa na wababe wa ukomunist ( urusi na Italia) enzi za Musolini na Stallin, ili kuingiza hofu ya watu wasithubutu chochote ndo wakaja na stail ya kuadhibu familia na ukoo mzima
 
Huyu mwamba ana wanyoosha wananchi wake kama Mwalimu Nyerere, TV zilipigwa marufuku na mambo mengine ya kipuuzi ya kijamaa.

Sometimes naonaga wajamaa kama vile ni watesi wa wananchi
Wapo kwenye gereza waliloruhusiwa kutembea na kulala nyumbani huku uhuru wao ukimilikiwa na nyapala mkuu kiduku
 
Ujamaa ni mfumo wa utawala unaomfanya kiongozi wa juu aonekane mkubwa kupita kiasi.

Nchi za kijamaa Serikali ina fedha ila raia ni makapuku.


Wananchi wa kawaida wanatabika mno huku watawala wakiwatenda watakavyo bila kuhojiwa.
Ujamaa ulifelishwa kwa nguvu na marekani. Ujamaa si mfumo mbaya wa maisha.
 
Go Kim ,hii ndio tunahitaji,watu wale raw foods kwa afya za mataifa yao,na uchumi bora
 
Ujamaa ulifelishwa kwa nguvu na marekani. Ujamaa si mfumo mbaya wa maisha.
Kama ujamaa siyo Mfumo mbaya wa maisha basi badili uraia wako ili uwe raia wa Korea ya Kaskazini, na uhamie huko Korea ya Kaskazini ili uishi huko kwa muda wako wote wa uhai wako uliobakia hapa duniani
 
Kama ujamaa siyo Mfumo mbaya wa maisha basi badili uraia wako ili uwe raia wa Korea ya Kaskazini, na uhamie huko Korea ya Kaskazini ili uishi huko kwa muda wako wote wa uhai wako uliobakia hapa duniani
Hivi umeekewq nilichoandika. Narudia ujamaa siyo mfumo mbaya wa maisha.

Marekani alitumia nguvu kubwa kuufanya ujamaa ufeli akapindua na kuua viongozi wote waliokua wana mawazo ya kijamaa dunia nzima kulinda interest zake hivyo kupelekea nchi za ujamaa kuwa masikini. Kwa sasa hivi kuuishi ujamaa ni ngumu sababu utawekewa vikwazo vya kila aina na mtaishi kimasikini.

Ujamaa kama mfumo si mbaya sema circumstances haziruhusu kuuishi ujamaa.
 
Kwa nini ujamaa ulishindwa USSR/Urusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…