Correlation is not causationSawa lakini inaongeza huo upatikanaji.
Kama umesoma hio report ya Who kila watu 6 wanaokufa mmoja anakufa na Kansa,
Na ukiangalia rate ya Kansa Nchi zinazokula processed food wanakufa zaidi na Kansa kuliko nchi masikini, sio coincidence mkuu.
Hicho nimetoa kama kibwagizo, comment yangu nyengine ipo juu ina utafiti ambao upo backed na Who,Correlation is not causation
Ikiwa nchi wanazolima ngano kwa wingi au wanaokula sana kitimoto zina rate kubwa ya kansa hivyo vitu ndivyo vitakuwa vinasababisha kansa?
Umewahi kufuatilia ukajua nchi zenye rate kubwa ya kansa ni nchi zenye wazee zaidi, zenye vinu vingi vya nuclear, zenye watu wengi wasiofanya kazi za mashambani, zenye hospitali bora n.k??
Sawa, ila hao wanaopima si tayari ni sample ya kutosha? Tafiti zote hutumia sample na sample ikiwa kubwa inatosha kabisa kufanyia ResearchSipingi takwimu zako ila fahamu huku watu wengi bado hawapimi wakiumwa mpaka wanafariki
Mfano nchi kama india watu billion 1.5 kuna umaskini wa kutisha kuna watu wengi sana wanaumwa hata hawaendi hospital imagine tu choo tu ni changamoto
Mimi ninandugu yangu aliumwa mpaka dakika ya mwisho aligoma kwenda hospitalini
Hospitali ngapi Tanzania kansa inaweza kugundulika??Sawa, ila hao wanaopima si tayari ni sample ya kutosha? Tafiti zote hutumia sample na sample ikiwa kubwa inatosha kabisa kufanyia Research
Mfano Tanzania tupo milioni 60, wanokwenda hospital assume ni Milioni 10 na wasiokwenda ni Milioni 50, hao milioni 10 ni bonge la sample tayari.
Hata tano hazifiki kwa population ya million 65+Hospitali ngapi Tanzania kansa inaweza kugundulika??
Marekani ina hospitali zaidi ya 1,000 kwa ajili ya huduma za cancer.
Unaelewa maana ya sample boss, hao hao wanaokwenda Aga Khan na Seifee wanatosha kutuwakilisha nchi nzima,Hospitali ngapi Tanzania kansa inaweza kugundulika??
Marekani ina hospitali zaidi ya 1,000 kwa ajili ya huduma za cancer.
Hebu usituchekeshe; kwani wanawake ndio wanaruhusiwa?Basi angeacha wanawake wale azuie wanaume
Wajamaa wanafanya hayo Ili kulinda madaraka yao tuHuyu mwamba ana wanyoosha wananchi wake kama Mwalimu Nyerere, TV zilipigwa marufuku na mambo mengine ya kipuuzi ya kijamaa.
Sometimes naonaga wajamaa kama vile ni watesi wa wananchi
Labda wao Kwa wao wasalitiane hasa wakubwa walio katika nyadhifa mbali mbaliSi waliue, kuna watu wanafanya wenzao waishi kwa tabu sana hapa duniani
Bora kusema hujui kuliko kuandika story za kukopa mtandani kama ndio ukweli halisi au umefika kushuhudia haya.Ni ngumu sana. Kasambaza vipenyo kila mahali, na kahakikisha hakuna mawasiliano kati ya raia wa Korea Kaskazini na watu wa nje wa taifa hilo na raia wanamezeshwa propoganda za kina Kim tangu wanaanza shule za vidudu mpaka chuo. Kuna hadi Wakorea wanaoamini wakina Kim ni miungu!
Kuna Muhimbili, Ocean Road, Kcmc, etc kote huko kuna centre za Cancer, watu wanaohudumiwa kwa mwaka ni malaki ya watu, as long as una sample kubwa inatosha kabisa kupata data.Hawatoshi, kwanza Agha Khan na Saifee ni hospitali za matajiri.
Ndio broHebu usituchekeshe; kwani wanawake ndio wanaruhusiwa?
Au waliloge huko hakuna wachawi 😹Labda wao Kwa wao wasalitiane hasa wakubwa walio katika nyadhifa mbali mbali
Kule hamna wakingaAu waliloge huko hakuna wachawi 😹
Falah wee 😹😹Kule hamna wakinga
Uchawi una limits zakeFalah wee 😹😹
Wakinga uchawi wetu hauna limits, mpk UK unafika 😹😹Uchawi una limits zake