Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kawaidaaa san uyooohivi ayo laizer sio mtanzania?manake biti zake nazikubali sana
list kali ila kwa tuddy apoo duh bado sanaah level zke c kama kina abbah tu haw1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Maganga
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Utakuwa umeanza kumjua tudy leo, ila maoni yako yanaheshimiwalist kali ila kwa tuddy apoo duh bado sanaah level zke c kama kina abbah tu haw
kawaidaaa san uyooo
Mika achana na yule mzungu halafu hakuwa hata anajisikia sema felxian muta mwenye studio ndo alikuwa mzushiMika Mwamba kuna lile jisongi la Chege linaitwa Kaunta ya Juu daah lile biti jamaa alinyonga sana enzi hizo kishule shule upo kwenye DCM - Msemo Trans mziki mnene basi dereva analiweka hapo mzee kama ulaya ulaya vile daah...hatari sanaa...
Nilichanganya kidogo ndio huyo roy bukuku jamaa alifanya hit songs nyingi sana enzi zile ndo amekuja toka englandRoy Maganga ndio Nani mkuu tutajie nyimbo zake au unamaanisha Roy Bukuku wa G2?