Sound engineering 10 bora muda wote Tanzania

Sound engineering 10 bora muda wote Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water

Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman

Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
 
Mika Mwamba kuna lile jisongi la Chege linaitwa Kaunta ya Juu daah lile biti jamaa alinyonga sana enzi hizo kishule shule upo kwenye DCM - Msemo Trans mziki mnene basi dereva analiweka hapo mzee kama ulaya ulaya vile daah...hatari sanaa...
 
Roy Maganga ndio Nani mkuu tutajie nyimbo zake au unamaanisha Roy Bukuku wa G2?
 
1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Maganga
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water

Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
list kali ila kwa tuddy apoo duh bado sanaah level zke c kama kina abbah tu haw
 
Ukiacha homie master j hapo,wenhine sijui kama ni ma sound engineer..
By the way,wengine wanalalama bure tu,wanataja ma record producer,mtoa mada uwanja wako kufafanua zaidi
 
Mika Mwamba kuna lile jisongi la Chege linaitwa Kaunta ya Juu daah lile biti jamaa alinyonga sana enzi hizo kishule shule upo kwenye DCM - Msemo Trans mziki mnene basi dereva analiweka hapo mzee kama ulaya ulaya vile daah...hatari sanaa...
Mika achana na yule mzungu halafu hakuwa hata anajisikia sema felxian muta mwenye studio ndo alikuwa mzushi
 
Sound Engineers bora, kwa maoni yangu ni Majani, Master Jay, na Mika Mwamba, ushahidi ni ukisikilza kazi zao za mda mrefu lakini usikivu wake wa sauti ni bora sana kuliko nyimbo nyingi za sasa.

Wengi walipo sasa ni beat makers tu, hawajui chochote kuhusu sound.
 
Roy Maganga ndio Nani mkuu tutajie nyimbo zake au unamaanisha Roy Bukuku wa G2?
Nilichanganya kidogo ndio huyo roy bukuku jamaa alifanya hit songs nyingi sana enzi zile ndo amekuja toka england
1.blue blue -mr blue
2.nakupenda-abby skills ft zaharan and dully
3.ice cream-noorah ft sumalee
4.Haiwezekan-saadat ft blue
5.Mapozi-blue
6.baridi-Enika
7.Dakika 1 -Ngwea ft noorah
 
Back
Top Bottom