Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bony luv ana hit song na albumBony Luv kwangu Mimi ndiye anayestahili kushika namba moja ingawa hakusomea lakini anawazidi sana hao wenye vyeti.
Hivi tunaongelea sound engineers au music producers?!!Bony luv ana hit song na album
Ngapi ambazo aliandaa?
Kuwa mkongwe haimaanishi wew ndio bora sana
Tofaut na kuandaa album ya mwanafalsafa-mwanafalsafani naa baadhi ya nyimbo. Kama nyaluland-mike T party jose mtambo hana nyimbo bora sana kivile
Hawajui muziki wanahitaji elimu kwanza kujua maana ya sound engineering na music producerUkiacha homie master j hapo,wenhine sijui kama ni ma sound engineer..
By the way,wengine wanalalama bure tu,wanataja ma record producer,mtoa mada uwanja wako kufafanua zaidi
Kweli mkuu,maana naona kuna kumix vitu hapo mpk mtu annahisi umependelea kumbe ni vitu viwili tofauti though vinaendanaHawajui muziki wanahitaji elimu kwanza kujua maana ya sound engineering na music producer
Ni kweli aisee, ila nategemea siku moja kuingia kwenye hiyo list na kuleta mageuzi makubwa kwenye field ya sound engineering hapa TanzaniaSound Engineers bora, kwa maoni yangu ni Majani, Master Jay, na Mika Mwamba, ushahidi ni ukisikilza kazi zao za mda mrefu lakini usikivu wake wa sauti ni bora sana kuliko nyimbo nyingi za sasa.
Wengi walipo sasa ni beat makers tu, hawajui chochote kuhusu sound.
Hata alivyokuja kupiga ile beat ya chid benz na mzee Yusuf ilikuwa kali balaaKwangu mm Mika mwamba ni bora kuliko wotee! Jamaa alikuwa akitengeneza wimbo lazima uwe hit!
Ndio aliotengeneza wimbo wa Tunda wa muumin mwinjuma, na hit aong zote za daz nundaz ila hawa daz nundaz baada ya kwenda tu kwa majani wakaanza kupotea
Hebu angalia ile beat ya salome ya dully sykes!
Msingi mbovu upo kwenye lugha mkuu, wengi hawafahamu lugha na wana mifumo ya kukariri sanaHawajui muziki wanahitaji elimu kwanza kujua maana ya sound engineering na music producer
Marco chali yes, reference album ile ya Lawrence Malima (Marlawa)1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water
Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman
Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
We master jay (Joackim Kimario) ana degree ya Electrical Engineering Kutoka Uholanzi,baada ya Kumaliza degree yake Akachukua Sound Engineering Uholanzi.Huyo Maron Linje yeye ndiye alikuwa mwanafunzi wa Master Jay,usifanye masihala na Master Jay kichwa kile kipo vizuri.Maron Linje aka Baba George.. huyu ilikua roho ya Master Jay kwenye Sound Engineering
Mkuu huyu jamaa ndio aligonga mdundo wa Inspector Haroun katika wimbo wa (mtoto wa geti kali) original version..ule mdundo ni kisanga na nusu!Mika Mwamba kuna lile jisongi la Chege linaitwa Kaunta ya Juu daah lile biti jamaa alinyonga sana enzi hizo kishule shule upo kwenye DCM - Msemo Trans mziki mnene basi dereva analiweka hapo mzee kama ulaya ulaya vile daah...hatari sanaa...
Laizer ni Mburundi anayejifanya mkigoma. Mimi naona ka beat zake za kawaida sema ana lebel kubwa ila siku hizi beat nyingi hasa za Rayvanny na Hamonize wanataengeneza wengine kama akina S2kizzy na Black qhivi ayo laizer sio mtanzania?manake biti zake nazikubali sana
Jamaa alikuwa hatari sana sema maskini mzki aliokuwa anaufanya watu walikuwa hawauelewi. Beat kama la Mabeste ft Jux - Sirudi tena,Marehemu Pancho Latino alikuwa noma sanaa
Sounder engineer ka bongo ni Pfunky, Hammy B, Chizan Brain ila P funky anakwambia hao wote wanajaribu yeye ndiye masterSound engeneer,producer,composer nk. Hapo naona wengi ni.mabeat makers tu. Kuna huyu jamaa wanamuita chizanbrain sijui yupo studio gani,ila ni miomgoni mwa mamixer na sound engeneer wazuri bongo.
👌 TunawezaNi kweli aisee, ila nategemea siku moja kuingia kwenye hiyo list na kuleta mageuzi makubwa kwenye field ya sound engineering hapa Tanzania