Sound engineering 10 bora muda wote Tanzania

Sound engineering 10 bora muda wote Tanzania

Bony Luv kwangu Mimi ndiye anayestahili kushika namba moja ingawa hakusomea lakini anawazidi sana hao wenye vyeti.
Bony luv ana hit song na album
Ngapi ambazo aliandaa?
Kuwa mkongwe haimaanishi wew ndio bora sana
Tofaut na kuandaa album ya mwanafalsafa-mwanafalsafani naa baadhi ya nyimbo. Kama nyaluland-mike T party jose mtambo hana nyimbo bora sana kivile
 
Hivi tunaongelea sound engineers au music producers?!!
Hata hivyo Bony ana vyote hivyo. Ni DJ,song producer na pia ni sound engineer. Kwa maana anao uwezo wa kufunga vyombo kwenye matamasha na kucheck na Ku tune sauti mpaka ikakaa sawa tayari kwa onyesho.
Na sauti ikasikika note bila ya shida yoyote.
Sasa aina hakika kama hawa wengine sana uwezo huo nje ya studio.
Matamasha mengi ya Clouds ni Bony ndiye anaye simamia ufungaji wa vyombo vya music.
 
Ukiacha homie master j hapo,wenhine sijui kama ni ma sound engineer..
By the way,wengine wanalalama bure tu,wanataja ma record producer,mtoa mada uwanja wako kufafanua zaidi
Hawajui muziki wanahitaji elimu kwanza kujua maana ya sound engineering na music producer
 
Hawajui muziki wanahitaji elimu kwanza kujua maana ya sound engineering na music producer
Kweli mkuu,maana naona kuna kumix vitu hapo mpk mtu annahisi umependelea kumbe ni vitu viwili tofauti though vinaendana
 
Kwangu mm Mika mwamba ni bora kuliko wotee! Jamaa alikuwa akitengeneza wimbo lazima uwe hit!
Ndio aliotengeneza wimbo wa Tunda wa muumin mwinjuma, na hit aong zote za daz nundaz ila hawa daz nundaz baada ya kwenda tu kwa majani wakaanza kupotea
Hebu angalia ile beat ya salome ya dully sykes!
 
Sound Engineers bora, kwa maoni yangu ni Majani, Master Jay, na Mika Mwamba, ushahidi ni ukisikilza kazi zao za mda mrefu lakini usikivu wake wa sauti ni bora sana kuliko nyimbo nyingi za sasa.
Wengi walipo sasa ni beat makers tu, hawajui chochote kuhusu sound.
Ni kweli aisee, ila nategemea siku moja kuingia kwenye hiyo list na kuleta mageuzi makubwa kwenye field ya sound engineering hapa Tanzania
 
Kwangu mm Mika mwamba ni bora kuliko wotee! Jamaa alikuwa akitengeneza wimbo lazima uwe hit!
Ndio aliotengeneza wimbo wa Tunda wa muumin mwinjuma, na hit aong zote za daz nundaz ila hawa daz nundaz baada ya kwenda tu kwa majani wakaanza kupotea
Hebu angalia ile beat ya salome ya dully sykes!
Hata alivyokuja kupiga ile beat ya chid benz na mzee Yusuf ilikuwa kali balaa
 
Hawajui muziki wanahitaji elimu kwanza kujua maana ya sound engineering na music producer
Msingi mbovu upo kwenye lugha mkuu, wengi hawafahamu lugha na wana mifumo ya kukariri sana
 
1.P-funky majani
2.Mika Mwamba Kali
3.Master jay
4.Enrico
5.Allan Mapigo
6.Roy Bukuku
7.Marco challi
8.Saidy Commorien
9.Tudd Thomas
10.Man water

Addtion
Lamar
Bony luv
Marijan rajabu
Bizzman

Narud kuonyesha kila mtu na nyimbo zake 10 bora
Marco chali yes, reference album ile ya Lawrence Malima (Marlawa)
 
Maron Linje aka Baba George.. huyu ilikua roho ya Master Jay kwenye Sound Engineering
We master jay (Joackim Kimario) ana degree ya Electrical Engineering Kutoka Uholanzi,baada ya Kumaliza degree yake Akachukua Sound Engineering Uholanzi.Huyo Maron Linje yeye ndiye alikuwa mwanafunzi wa Master Jay,usifanye masihala na Master Jay kichwa kile kipo vizuri.
 
Mika Mwamba kuna lile jisongi la Chege linaitwa Kaunta ya Juu daah lile biti jamaa alinyonga sana enzi hizo kishule shule upo kwenye DCM - Msemo Trans mziki mnene basi dereva analiweka hapo mzee kama ulaya ulaya vile daah...hatari sanaa...
Mkuu huyu jamaa ndio aligonga mdundo wa Inspector Haroun katika wimbo wa (mtoto wa geti kali) original version..ule mdundo ni kisanga na nusu!
 
Attachments

Sound engeneer,producer,composer nk. Hapo naona wengi ni.mabeat makers tu. Kuna huyu jamaa wanamuita chizanbrain sijui yupo studio gani,ila ni miomgoni mwa mamixer na sound engeneer wazuri bongo.
 
hivi ayo laizer sio mtanzania?manake biti zake nazikubali sana
Laizer ni Mburundi anayejifanya mkigoma. Mimi naona ka beat zake za kawaida sema ana lebel kubwa ila siku hizi beat nyingi hasa za Rayvanny na Hamonize wanataengeneza wengine kama akina S2kizzy na Black q
 
Sound engeneer,producer,composer nk. Hapo naona wengi ni.mabeat makers tu. Kuna huyu jamaa wanamuita chizanbrain sijui yupo studio gani,ila ni miomgoni mwa mamixer na sound engeneer wazuri bongo.
Sounder engineer ka bongo ni Pfunky, Hammy B, Chizan Brain ila P funky anakwambia hao wote wanajaribu yeye ndiye master
 
Back
Top Bottom