- Thread starter
- #61
Kama wamejiandaa inakuaje maambukizi yafikie 40+ rwanda?
ww ungesema wanatumia nguvu kubwa mno kujihami mpka polisi wanapiga watu risasi ,inatisha na kuogopesha
Hii pia inaeleza: kupungua kwa maambukizi,
Rwanda Confirm More Coronavirus Cases
Maambukizi na kasi ya maambukizi ni vitu viwili tofauti.