South Africa na Rwanda mataifa yaliyodhamiria kuondokana na Corona

Waafrika hatuamini kuwa huo ugonjwa unaweza kuwa ni tatizo kwetu na huu ni mtazamo wa raia wenyewe hadi viongozi,hizi jitihada ni tunazoziona ni za kuondoa lawama tu.
 
Ukisema waafrika si sawa. Rwanda, South Africa, Uganda, Kenya na nchi nyingi tu wanapambana na huu ugonjwa. Nadhani tatizo ni Tanzania peke yake.

India zaidi ya bilioni 1 wapo lockdown na wanasema hamna kuiondoa:

Why India cannot afford to lift its lockdown

Nadhani tuna matatizo ya elimu zaidi kama anavyotambua TWAWEZA.
 
Mkuu hapo Rwanda watu wamekula shaba,Kenya wanatandikwa bakora na India polisi wanakula kichapo kutoka kwa raia.
 
Huko ndiyo kudhamiria kumalizana na Corona. Hili suala tunalifanyia sana lelemama.

Tumesahau kuwa taifa halina dini bali wenye dini zao ni wananchi.

Tafadhalini jamani dini bakini nazo kibinafsi mnatukera wengine ambao hatukubaliani na misimamo ya dini zenu.
 
Suala la dini limeingiaje tena hapa?
 
Suala la dini limeingiaje tena hapa?

Mkuu pale ilikuwa katika kudadavua zaidi.

Tofauti yetu na wote waliodhamiria kupambana na sisi iko kwenye wenzetu kutumia raslimali zao na sisi ati kumkabidhi Mungu.

Ilikuwa katika kudadavua zaidi tu.

Tuko pamoja mkuu.
 
Hata hivyo mkuu hilo jambo mmelichukulia tofauti sana ila hikuwa na maana ya kwamba watu wasifanye kitu bali wategemee Mungu,mbona mashule yamefungwa na hatua mbalimbali zimechukuliwa kwa kiasi chake katika kuonesha nasi tunapambana na corona.
 
Mkuu huu ugonjwa hautaki nusu. You do or you die.

Shule zimefungwa hatua njema. Masoko wazi, ibada wazi, usafiri wa umma wazi, maisha mengine yanaendelea. Pana toka hapo?

Wanaita kisebu sebu na kiroho papo.
 
Mkuu huu ugonjwa hautaki nusu. You do or you die.

Shule zimefungwa hatua njema. Masoko wazi, ibada wazi, usafiri wa umma wazi, maisha mengine yanaendelea. Pana Tina hapo?

Wanaita kisebu sebu na kiroho papo.
Ndiyo maana nikasema viongozi na raia kwa afrika wanaamini huu ugonjwa ni wa watu weupe na hizi juhudi tunazoona ni kwa ajiri ya kuonekana tu nasi tunaunga mkono hii vita ya corona.
 
Back
Top Bottom