- Thread starter
- #21
Tusiongee sana kwanza nishakuona mdini, unachati na mtu ambaye hata huyo mungu sijui kama yupo unaanza kuniletea stori za wakristo.
Pili ninasema hivi hakuna mahakama hiyo kitu itaifanya Israel, sema wewe kama Israel itakutwa na hatia unafikiri nini kitafanyika?
Muda mwingine tuongee uhalisia acha kuleta stori za mahakama ambazo ni vyombo vya marekani kuuhadaa ulimwengu
Pathetic kabsa
Ujinga mzigo:
1. Hivi maono yako yanaweza kukubaliwa popote kama ushahidi?
2. Huo udini ukiambiwa uuonyeshe utaweza?
3. ICJ ni mahakama ya UN ila mwenye akili kijiweni hapo kuiponda?
Bure kabisa!