Unapo kuwa unaongelea jambo lolote hakikisha unakuwa na uwelewa nao ,tatizo la waafrika ni kujitia ujuaji wakati vichwani ni zero.
Kama hiyo kesi isinge kuwa na maana Israel isingekuwa ina haha kutuma mawakili wake waende kujitetea kwenye mahakama hiyo.
Unajua ni gharama kiasi gani za kidipromasia kwa taifa kutambulika kama mfanya mauaji ya kimbali?
Au ww unadhani dunia ya sasa ni kama ya zamani kila kitu kinamilikiwa na Marekani?
Hivi ww kwenye fikira zako ilisha waza kuwa ipo siku wahuthi wataweka mzingiro wa baharini dhidi ya Israel na kushababisha maafa kwenye uchumi wake?
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app