South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7


Ujinga mzigo:

1. Hivi maono yako yanaweza kukubaliwa popote kama ushahidi?

2. Huo udini ukiambiwa uuonyeshe utaweza?

3. ICJ ni mahakama ya UN ila mwenye akili kijiweni hapo kuiponda?

Bure kabisa!
 
Kwahiyo Nyerere alivyounga mkono vita ya Biafra alikuwa sahih

1. Unadhani mkuu unayo credibility kuliko Nyerere?

2. Wewe huyo nyuma ya keyboard, fake ID na bila hata CV yako kujulikana?

3. Mwenye buku kuna picha ya Nyerere kama wewe uko vyema zaidi labda ungependekeza kuwa ni muda sahihi sasa kuweka yako badala yake?
 
Israhell inatakiwa ishambuliwe kila itakapopatikana fursa

Yaani inatakiwa ipondwe pondwe haswaa mpaka ikiwezekana ifutike tena ipondwe kabisaa

Yaani 2033 israhell itapokea kipigo nandio utakua mwisho wake
 
kuna tofaut gan kati ya Hamas na Boko Haram au ISIS ? ebu jitambue bas usihis una debate na mjinga mwenzio , wote hao wanalenga Islamic state na sio freedom of Palestina , Palestina was freed since 1948 na bado wakapewa freedom 2000 ila wakagoma
mkuu unaongea sana ila kichwa bado chepesi na mpaka leo bado huwezi kutofautisha ISIS na HAMAS halafu unaongea kujifanya unajua, unatia aibu unavyo bwatuka
 
Watapigwa sana na mfululizo mpaka vizazi vyao viwe vinaota kupigwa, Hamas walizingua mno na bado wanajifanya wanakaza
 
Ujinga mzigo:

1. Hivi maono yako yanaweza kukubaliwa popote kama ushahidi?

2. Huo udini ukiambiwa uuonyeshe utaweza?

3. ICJ ni mahakama ya UN ila mwenye akili kijiweni hapo kuiponda?

Bure kabisa!
Ulituma thread kuhusu wakristo inanihusu nini mimi hiyo?

Nimesema hivi mahakama hiyo ni chombo cha marekani kuuhadaa ulimwengu hakuna kitu itaifanya Israeli.

Sema wewe watafanya nn wakikuta Israel ni wakosaji?
Embu sema acha kujichekesha kama mwanamke aliyeona bwana.

Wewe ni mdini kweli sababu nimejaribu pitia nyuzi zako nimeona kama alivyo yule mkenya mpumbavu anayeshabikia Israel.
 
Kila binadamu ana makosa yake wewe usichukulie tu Nyerere ni mzur kwa kila kitu. Ushajiuliza kwanini Wakat anaondoka madarakan alisema siasa yake imefeli.
 
Yaani wapalestina wanauawa kwa sababu waliwafuga HAMAS , HAMAS wanajicha kwa Raia sasa utawatenganishaje wakati wa kipigo

Mkuu mada inahusu ICJ huko haongelewi mtu au kikundi cha watu. Huko ni nchi kwa nchi. Unaona ulivyo nje ya mada mkuu?
 
Mpuuzi ni ww usiojua hamasi ni taasi imara kabisa kama ilivyocdm na ccm marekani aksema fulani ni gaidi na nyie huwa mnashingilia kama mmekeketwa ubongo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…