Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23
South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo
Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima
USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii
Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao tusiwaogope hao WA Rwanda kama n damu na imwagike warudishwe kwao kama walivyoua WA congo
Leo BBC wanaonyesha UN wanavyolilia watoto zaidi ya 700 waliuwawa walipoona baba zao na mama zao wamekufa wakachukua mawe na silaha kupambana na M23
Nilisema Hawa mbwa sio WA kucheka NAOO KUNA siku wataamkia nchi za jirani tuanze kuulizana
Dawa yao n kuwa flash mapema wasahaulike kama waliokuwepo
HUYO Bwana anaesema anajilinda huku wakiiba madini congo aliwahi kutishia nchi moja atawamaliza wakamwambia Wala WANAJESHI watakaokupiga hawatoki makao makuu watatokea kipande tu SEHEMU jirani ya nchi yakoo
Hahahaaaa akafunga mdomo mpaka Yesu atakaporudi na hakuwahi KUKANYAGIA hio nchi mpaka kulipofanyika uchaguzi kupata RAIS mpya ndipo akaonekana...
Hii nchi n kuiwekea vikwazo na kuwachakaxa hao M23 wakajutr kwa waliowattuma tuliingia choo cha kike
USHAURI wangu
WANAJESHI WA SADC na EAC tuungane wapendwa kujisaidia congo sijui kama mbona MAUWAJI ya wale wananchi na watoto
Sijui kama majuzi mmeona UN wakishusha Ile miili kwenye kaburi xs pamoja
Leo tunaogopa HATA KWENDA congooo
Madreeva wetu wamelalama gari zao zimeibiwa vitu kupitia chama chao
NXTY.....
Mungu IBARIKI EAC. Na Sadc