Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Unaongea vitu unajichanganya mwenyewe mara askari wa kikaburu kutoka SA ndio waliua sana navyokwambia hao jamaa ni hatari muulize Kagame mpaka wameuawa Askari 13 wa SA hao Wanyarwanda wamekufa wangapi mpaka Kagame anamchukia Ramaphosa kama alivyomchukia Kikwete kipindi kile hivi vikosi vya kulinda amani wao wakiua huwa hawatangazi kabisa ila Wanyarwanda wengi waliouawa huko ni jeshi la Kaburu na Tanzania ndio wamehusika..SADC na SA hakuna walichofanya Msumbiji ile kazi iliwashinda, askari wa kukodi aka mercenaries wa kikaburu kutoka SA nan Wagner ndio waliua sana IS nao wakashindwa mpaka Serikali ya Mozambique na jamaa wa Total France (France) walipoamua kuwacontract RPF (Rwanda) kuja kuweka mambo sawa, sasa pametulia na RPF wapo huko wanashika doria.