Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Labda uniambie Kagame ndio freedom fighter.M23 sio Magaidi bali ni Freedom Fighters.
Na kwa kejeli alizotoa kwa AU siku ya kikao, na personally kwa Ramaphosa, hata kama ningekuwa mimi ningezaa nae.
Hawezi kuongea kwa kiburi namna hiyo kana kwamba wengine hawana majeshi.