Kimsingi hata mimi siwaungi mkono m23 ,,,kwanini ??
Japo historia inaonesha kuwa mgogoro huu unasababu nyingi lakin kubwa kabisa ni kuwa M23 hawa ni wezi wa Ardhi ya Congo kivipi ??
Wakati wa genocide ,, watusi wengi walikimbilia Congo wakapewa hifadhi na Congo .. huku wa-Congo hawa wakiwa na imani kuwa pindi hali itakapotulia kwao (Rwanda ) watu hawa watarudi kwao na kuwaachia nchi yao ..
Lakin ,,, baada ya hali kutulia Rwanda,,, watu hawa hawakutaka kurudi tena kwao Rwanda ,,, wamekuwa wakiishinikiza serikali ya Congo iwatambue kama wa -Congo na siyo kama wakimbizi toka Rwanda ,,, je ,, ungekuwa wewe ungekubali ??
Serikali ya Congo inajua fika kabisa ikiwatambua kama wa - Congo ,, tafsiri yake ,, imekubali kumruhusu adui ndani ya Nchi ,, imekubali kagame itawale Rwanda lakin pia aitawale Congo ..
Hivyo ,, mimi nipo pamoja na serikali ya Congo ,, nipo pamoja na south Africa ,,nipo pamoja na nchi yeyeto ile inayowapinga M23 ..