South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

suala la congo, ifike mahali, ikatwe vipande ili waishi kila mtu na nchi yake kwa amani. wakikata bukavu na goma ikawa nchi wala hawatagombana tena, na hao banyamulenge walianza kuomba hilo jambo tangu kipindi cha mobutu seseseko ndio maana aliwakana akasema wao sio wacongo kwa sababu wakati nchi za frica zinaomba uhuru nao waliomba eneo walilopo watambulike. dawa ni kuwapa eneo lao wajitawale, ili watu wasiuane tena.
 
Huwezi kuanzisha Vita kwa ego au kwa reputation yako kutoneshwa.
I expected this reply, so uko smart.

Matamshi ya Kagame ni justification ya kwenda kumtoa DRC, kile kikao ni kama alipewa nafasi ya kujitetea, lakini akaongea kibri na jeuri.

Kagame anavamia hayo maeneo kwa sababu yana utajiri wa madini.

Kwa nini tumuachie yeye tu? Sisi hatutaki madini ya DRC?

Lakini kubwa kuliko, kuacha Kinshasa ianguke, ni sawa na kuacha Ukraine imilikiwe na Putin.

Usalama wa ukanda mzima utakuwa shakani.
 
SA haina jeshi imara, jeshi imara la SA lilikuwa jeshi la kaburu, wawe makini wasijekwenda kuisha kwenye mapoli ya DRC.

Ramaphosa ajiangalie amewekwa kwenye kilengeo, hii vita itaifirisi SA awe makini.
 
Mkuu wewe ndio Sauth Africa naona unapiga kelele kuliko Hata Mseven ambaye ni memba wa SADC
 
Mbona hao wachache mzigo wa $ alokula ni mkubwa kuliko alikula yule mburundi mpaka EAC wakafukuzwa DRC.
 
Mungu wabariki wapigania haki wa M23
 
kwamba m23 wamebaguliwa na Mobutu ,Kabila Senior , Kabila junior na Tshiked ? kwann marais wote wawabague hii jamii moja , kwan hii jamii inashida gan , sio tu DRC hata Burundi hata Uganda hata Tz pia wao ndo wanadai kuonewa
 
hao watutsi wanabadilika kulingana na nchi husika , wao hawatak kutawaliwa wao wanataka kutawala wengine , ndio maana walifanya mapinduz huko Uganda wakamweka M7 kisha wakawauwa maraisi wa Burundi na Rwanda na kuteka Rwanda , huko Burundi walishindwa , Wakaanza ishambulia DRC kisha wakampindua Mobutu na kumuweka kabila kisha wakamuua Kabila na kumuweka Kabila mtoto , huyu rais wa sasa amepinga kuongoza kwa kufuata amri kutoka kigali bas wameamua vamia Drc na kutaka itema. wakifanikiwa bas kituo kijacho kitakuwa Burundi na watawatumia watutsi wenzao wanaojiita Red Tabara ambao wamekuwa wanajaribu kuiteka Burundi kwa miaka mingi sana , wakifanikiwa Burundi bas hapo Kenya na Tz tujiandae , mtoto wa M7 aliwai sema anaweza iteka Kenya ndan ya masaa 24 hakukosea ile kauli bali ile kauli ilikuwa ndo mpango mkakati wa hao watutsi , KENYA NA TZ tusipoamka na kuanza ingia DRC mapema kuwazuia hawa watutsi bas watutsi wapo hatua chache kututawala makabila zaid ya 500 ya EAC tukiongozwa na kakabila kadogo sn cha watutsi .

HAWA WATUTSI WANATAKA JIONA KAMA WAYAUDI WA MIDDLE EAST , WANATAKA TUMIKA NA MABEBERU KUDESTABILIZE AMANI YA EAC ILI MABEBERU WAJE WAIBE KWA UHURU KAMA ILIVYO MIDDLE EAST
 
Na pia ni jukumu la AU, SADC na EAC kuhakikisha member state govt haiangushwi kijeshi kama hivo piga M23 tena i wish wafike mpaka kwa sponsor wao kule this time wamalize kazi kabisa we need peace DRC ikitulia Africa yote tutaneemeka .Diplomasia imeshafeli kuna watu language wanayoelewa ni violence tu ni wakati sasa wahubiriwe kwa lugha wanayoijua .
 
kwamba m23 wamebaguliwa na Mobutu ,Kabila Senior , Kabila junior na Tshiked ? kwann marais wote wawabague hii jamii moja , kwan hii jamii inashida gan , sio tu DRC hata Burundi hata Uganda hata Tz pia wao ndo wanadai kuonewa
Hivi hiki unachokiongea kipo katika muktadha upi? TZ kuna watusi mpaka useme hiki ulichokiandika hapa?
 
Congo iache kulialia, ipambane kiume kutetea territorial integrity yake. Kama haiwezi basi wacha Kagame anyooshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…