South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

Congo iache kulialia, ipambane kiume kutetea territorial integrity yake. Kama haiwezi basi wacha Kagame anyooshe
 
Afrika Kusini kitu gani kinawawasha kuhusu Congo?
Wacha waende wakafe tena
 
Hivi hiki unachokiongea kipo katika muktadha upi? TZ kuna watusi mpaka useme hiki ulichokiandika hapa?
watz wengi hamjui watutsi ila waoo wengi sana hata kuliko Drc ,wapo hadi serikalini , wengine mnaita wahaya ,wengine mnawaita wanyambo wengine mnawaita wahaangaza , mf Kyline , Jenerali Ulimwengu etc jeshi wamejaa vyeo vya juu kabisa , ccmu wapo vyeo vya juu kabisa ,mimi rafik zangu wawili ( sio familia moja ) wamesomea Tz na wamekulia Tz na wana mpk NIDA ila ni watutsi na enzi tunasoma kila likizo walikuwa wanaenda Rwanda kusalimia Ndugu zao
 
M vingt-trois ni wazalendo na wanaiokoa Kongo kwenye ujinga wa watawala wabaguzi dhidi ya banyamulenge
 
Ninavyojua. Hakuna jeshi linaloitwa m23. Hilo ni jeshi la Rwanda likifadhiliwa na ufaransa na ulaya na marekani. Kituo kikuu kikiwa Nairobi. Western wameweka makao yao makuu ya kijasusi hapo Nairobi na ndio wanaoratibu kinachoendelea hapo congo na Sudan nk hapa africa.
 
Jeshini kuna mtutsi gani unayemjua mwenye rank ya juu kama unavyodai?
 
Hii nii Taarifa na maoni mumo kwa mumo.

Hata hivyo bora msauth kafanya hivyo kabla ya Trump.
 
Congo imekuwa jamvi la wageni.au uwanja wa fujo.tangu nipo mdogo mpaka leo nasikia walinda amani wameenda kongo Cha ajabu hawajawahi kufanikiwa
Ngoma Chafu kila mtu anajipigia tu
 
Kwani hao watu hawapaswi kuwa raia wa nchi hii ? Watanzania mnawaogopa sana hiyo jamii sijui kwa kitu gani special walicho nacho.
Ifike hatua habari za kusema huyu sijui mtutsi sijui BLA BLA kibao toone kama ujinga na upumbavu.
 
Wamechykua Jimbo kingine
SRc
BBC news
Loh
 
Na hiyo serikali ya Congo inayo wapa hifadhi FDLR (wahusika wa mauaji ya Kimball ya Rwanda 1994) unataka serikali ya Rwanda ichukue hatua gani dhidi ya Congo?
 
Sahihi, M23 hawana Nia ya Mji Mkuu , wanataka kutengeneza Nchi Ndani ya Nchi, Kuna tageti wakiifikia, utasikia wanataka maridhiano.
Kagame lofa anania vuguvugu liwe juu ili kongo mashariki ijitenge kisha baadae kongo mashariki na Rwanda ziungane. Anataka kurudisha Rwanda ya zamani kujitanua zaidi
 
Hebu acha ukabila mkuu hao wanaitwa kama ni wahaya ni wahaya na kama ni waangaza basi iko hivyo hayo mambo ya watusi ni sawa na shishi mnyamwezi kujiita mwarabu wa Tabora
 
Una interegensia ambayo marais na na majeshi ya EAC hawana ndio uzuri wa JF
 
Hawezi Chochote watu wanatetea haki na utu wao
 
Ndyo maana nimekwambia kuwa mgogoro huo una sababu nyingi sana lakini hicho nilichokielezea hapo ndiyo kiini kikuu,, hata jina la M23 ,, limetoka hapo hivyo huenda wewe ndiyo huna taatifa za kutosha juu ya mgogoro huu
 
Hapa wawaue tu Wanyarwanda na kumkamata pia na Kagame, we are tired of him kwa kweli.
 
Kwani hao watu hawapaswi kuwa raia wa nchi hii ? Watanzania mnawaogopa sana hiyo jamii sijui kwa kitu gani special walicho nacho.
Ifike hatua habari za kusema huyu sijui mtutsi sijui BLA BLA kibao toone kama ujinga na upumbavu.
Wala hakuna haja ya kuwa na wasiwasi mradi tu waheshimu sheria na taratibu za sheria za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…