Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
DuuhHuna taarifa za kutosha kuhusu historia ya Mgogoro huo.
Tangu enzi za mwanzo za Utawala wa Mobutu Sese Seko miaka ya 1960s Mgogoro huo ulikuwepo.
Pia kumbuka kwamba: Jenerali Kabarebe aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi nchini DRC (Zaire) na baadaye alihama nchi na kwenda kuwa Mkuu wa Majeshi nchini Rwanda
Umeongea sahihi kabisa.Na pia ni jukumu la AU, SADC na EAC kuhakikisha member state govt haiangushwi kijeshi kama hivo piga M23 tena i wish wafike mpaka kwa sponsor wao kule this time wamalize kazi kabisa we need peace DRC ikitulia Africa yote tutaneemeka .Diplomasia imeshafeli kuna watu language wanayoelewa ni violence tu ni wakati sasa wahubiriwe kwa lugha wanayoijua .
Yetu macho.Mungu wabariki wapigania haki wa M23
Achinjwe tu kama alivyochinja wenzakeHuyu n shetani mkuu ati anataka kugawana madini ndio maridhiano anayotaka
Waha wa kigoma wakitaka kujitenga huku wanasaidiwa na Burundi kijeshi utawaita freedom fighters?M23 sio Magaidi bali ni Freedom Fighters.
Hujui unachomaanishaNdugu wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana nenda ukavune,,
Kama tunawaonea na kuwanyanyasa kwanini wasiwe freedom fighters kuna kipindi hata Mwami Zitto Ruyagwa aliliongelea.Waha wa kigoma wakitaka kujitenga huku wanasaidiwa na Burundi kijeshi utawaita freedom fighters?
Hivi vitu sijui mnapata wapi Wanajeshi wa SA wanaogopwa sana hata kwao hapo wakitumiwa ni mpaka vibali maana kinachotokea ni hatari zaidi..angalia sasa hivi wao ndio walinzi wa mipaka huko Messina na Lesotho fatilia utapata jibu baada ya kuchukua kazi waliyokua wanafanya Polisi mwanzo.SA haina jeshi imara, jeshi imara la SA lilikuwa jeshi la kaburu, wawe makini wasijekwenda kuisha kwenye mapoli ya DRC.
Ramaphosa ajiangalie amewekwa kwenye kilengeo, hii vita itaifirisi SA awe makini.
Hivi vitu sijui mnapata wapi Wanajeshi wa SA wanaogopwa sana hata kwao hapo wakitumiwa ni mpaka vibali maana kinachotokea ni hatari zaidi..angalia sasa hivi wao ndio walinzi wa mipaka huko Messina na Lesotho fatilia utapata jibu baada ya kuchukua kazi waliyokua wanafanya Polisi mwanzo.
fuatilia , zipo hadi thread humu , yupo mmoja alikimbia kipind cha kikwete akaenda Kwao RwandaJeshini kuna mtutsi gani unayemjua mwenye rank ya juu kama unavyodai?
Wanajeshi wa SA wanaua sana hata huko Msumbiji wamewaua sana wale Isis mpaka kupelekea baadhi ya maeneo kuwa salama.Najua ninachoongea chief, unapozungumzia front line SA wana vifaa lakini hawana wapiganaji wazuri hili limedhihirika Angola ukiondoa wale Kaburu ndio maana nikasema nje ya wale wapiganaji Kaburu hawa ndugu zetu hamna kitu, imedhihirika pia Msumbiji dhidi ya IS na hata juzi DRC dhidi ya M23.
Jeshi kuogopwa na raia au kulinda mipaka isiyo na kitisho chochote cha uvamizi sio kigezo cha kuwa jeshi imara, jeshi imara linapimwa uwanja wa mapambano.
Wanajeshi wa SA wanaua sana hata huko Msumbiji wamewaua sana wale Isis mpaka kupelekea baadhi ya maeneo kuwa salama.
Jamaa ni wakatili mpaka mkuu wao wa majeshi alilaumiwa kwa mauaji ya huko maana Isis wanavaa nguo za kiraia tu ikapelekea kupunguza na kutoa baadhi ya wanajeshi.
Hawa Watutsi wako Congo muda mrefu na pia wako Burundi, Rwanda Uganda na Tanzania pia, huwezi waondoa eti sio kwao, ni sawa na kusema Wajaluo warudi Kenya kwa kuwa Tanzania sio kwaoKimsingi hata mimi siwaungi mkono m23 ,,,kwanini ??
Japo historia inaonesha kuwa mgogoro huu unasababu nyingi lakin kubwa kabisa ni kuwa M23 hawa ni wezi wa Ardhi ya Congo kivipi ??
Wakati wa genocide ,, watusi wengi walikimbilia Congo wakapewa hifadhi na Congo .. huku wa-Congo hawa wakiwa na imani kuwa pindi hali itakapotulia kwao (Rwanda ) watu hawa watarudi kwao na kuwaachia nchi yao ..
Lakin ,,, baada ya hali kutulia Rwanda,,, watu hawa hawakutaka kurudi tena kwao Rwanda ,,, wamekuwa wakiishinikiza serikali ya Congo iwatambue kama wa -Congo na siyo kama wakimbizi toka Rwanda ,,, je ,, ungekuwa wewe ungekubali ??
Serikali ya Congo inajua fika kabisa ikiwatambua kama wa - Congo ,, tafsiri yake ,, imekubali kumruhusu adui ndani ya Nchi ,, imekubali kagame itawale Rwanda lakin pia aitawale Congo ..
Hivyo ,, mimi nipo pamoja na serikali ya Congo ,, nipo pamoja na south Africa ,,nipo pamoja na nchi yeyeto ile inayowapinga M23 ..