South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

Unaongea vitu unajichanganya mwenyewe mara askari wa kikaburu kutoka SA ndio waliua sana navyokwambia hao jamaa ni hatari muulize Kagame mpaka wameuawa Askari 13 wa SA hao Wanyarwanda wamekufa wangapi mpaka Kagame anamchukia Ramaphosa kama alivyomchukia Kikwete kipindi kile hivi vikosi vya kulinda amani wao wakiua huwa hawatangazi kabisa ila Wanyarwanda wengi waliouawa huko ni jeshi la Kaburu na Tanzania ndio wamehusika..
 
Bado tz tunakoelekea na hali ngunu hii ya maisha kitakuja nuka na itakua balaa kuliko
 
Gaidi Kagame auwawe popote aonekanapo kwa uhaini
 
Hapa wawaue tu Wanyarwanda na kumkamata pia na Kagame, we are tired of him kwa kweli.
Wewe na huyo kagame you can go to hell, yaani waue wanyarwanda sababu ya kagame?? Halafu ulivyo mwendawazim unaandika kabisa ktk open forum kama hii. Evil 😈 like you ndio mnafanya dunia isiwe sehem salama kuishi. I have no doubt wewe utakuwa ni mnyarwanda. Pelekeni chuki zenu kwenu mmalizene mpaka kizazi kinachojielewa kitakapo chipua.
 
Hili povu ungekuwa unalielekeza huko kwa Ramaphosa saa hizi hao watoto wa watu wanaoshikiliwa huko congo angeweza kutoa go ahead wapite kigali warudi kwao. Kagame kuwa muuaji hakumfanyi Ramaphosa perfect kwa kupeleka vijana kwenda kufia congo kwa matakwa na tamaa zake.
 
JWTZ italinda mipaka ya Tz.

Huko kongo tukijjtahidi sana ni kuwapa siraha. Kila mtu alinde ardhi yake, Haiwezekani Wanajeshi wetu wakafie DRC kwa serikali ya kifisadi ili tu tumkomoe kagame, Haiwezekani
 
Acha wapigane
 
Hawa Watutsi wako Congo muda mrefu na pia wako Burundi, Rwanda Uganda na Tanzania pia, huwezi waondoa eti sio kwao, ni sawa na kusema Wajaluo warudi Kenya kwa kuwa Tanzania sio kwao
hakuna mtu anataka waondoa ila ukitaka elewa fuatilia platforms za Rwanda , hao wanyamulenge wanatumiwa na Rwanda kufanikisha uporaji wa mali wa DRC , yaan wakongo wameish na hao watu miaka na miaka ola alipokuja Kagame ndo waanze kubaguliwa ? hv hii ni sahihi kwa akili zako ?
 
Kufia vitani ndio kazi ya mwanajeshi. Amejitolea na analipwa kwa ajili hiyo.
 
Angalia watu anaowaua Kagame, unafikiri wote anaowaua wana hatia wale? Mtu wa namna ile ni wa kumshikisha adabu tu even if it takes killing a mass of people ili maradi tu Kagame apatikane....it's Ok....si mnaona hata kwenye hizi dini za hovyo (Ukristu na Uislam) kuuwana ilikuwa ni kitu cha kawaida kabisa tena ni mitume ndiyo ilikuwa Inaua kutimiza jambo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…