Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.

Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.

Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield kiuwezo.

Ila kwakuwa Michael Scofield ndiye star wa series ilibidi tu Mahone atafutiwe udhaifu ili mwisho wa siku ushindi uende kwa Michael Scofield.
Na udhaifu wenyewe ni yale madawa aliyokuwa anatumia.

Nahitimisha, Mahone ni hatari sana ila Michael alibebwa na director.🤣🤣
 
Sidhani kama upo sahihi. Mahone alikuwa anarudia kuangalia tattoo ndipo anajaribu kutabiri tukio linalofuatia. Alifeli kujua RIP Wood Chance mpaka akashindwa kuwakamata.
 
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.

Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.

Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield kiuwezo.

Ila kwakuwa Michael Scofield ndiye star wa series ilibidi tu Mahone atafutiwe udhaifu ili mwisho wa siku ushindi uende kwa Michael Scofield.
Na udhaifu wenyewe ni yale madawa aliyokuwa anatumia.

Nahitimisha, Mahone ni hatari sana ila Michael alibebwa na director.🤣🤣
Akimzidi vipi akili wakati kila kitu kwenye movie kinapangwa.?!
 
Back
Top Bottom