OC-CID
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 200
- 463
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.
Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.
Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield kiuwezo.
Ila kwakuwa Michael Scofield ndiye star wa series ilibidi tu Mahone atafutiwe udhaifu ili mwisho wa siku ushindi uende kwa Michael Scofield.
Na udhaifu wenyewe ni yale madawa aliyokuwa anatumia.
Nahitimisha, Mahone ni hatari sana ila Michael alibebwa na director.🤣🤣