Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Gwajima atamnyoosha Mdee Kawe
Hatutaki madrasa za watoto wetu ziwe Sunday schools hapana mnataka kuua uislamu wetu?hatutaki mbunge tapeli anayetumia bibilia kutapeli watu
Hatutaki mbunge mzinzi huku kawe. Kawe siyo gongo la mboto.
 
Kiongozi mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima na mgombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM askofu Gwajima alitembelea kempu ya kupakia mchanga na kuwasaidia kupakia.

Vile vile alifanikiwa kuwatembelea wajasiriamali wauzaji wa samaki kijiweni na kujipatia kitoweo cha samaki (ile ya kurumangia ugali)na kula hapo hapo.
My take
Awamu hii tutaona mengi.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi leo Hashim Rungwe Sipunda anahutubia wapi nikale ubwabwa na vipapatio vya kuku? maana mapaja na vidali huwa havionekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…