pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Afufue wapi mkuu? huyu mtu ni msanii na tapeli. hawa ndio siku ya kiama wanakuwa kuni.Mie nachompendea gwajima ni utaalamu wake wa kufufua watu,,
Wanakawe mkimchagua huyo hakuna kufa tena...
Teh teh teh 🤣🤣 🤣, hawa wanasiasa wanarubuni raia kama watoto wadogo, cha ajabu na raia wanaangukia kwenye hadaa zao.
Halima mdee hili Jimbo lilishaondoka siku nyingi Sana wananchi wanakosa chochote kizuri ulichofanya jimboni cha kukurejesha bungeniHaya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa"
Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
View attachment 1558610
View attachment 1562562
Hahah na kura zetu tutawapa kwa wingi tukisema jamaa ni wanyenyekevu sana.Teh teh teh [emoji1787][emoji1787] [emoji1787], hawa wanasiasa wanarubuni raia kama watoto wadogo, cha ajabu na raia wanaangukia kwenye hadaa zao.
Mwanaume apigi chepe hivyoMbunge mtarajiwa wa Kawe. Ukae au usimame.
Siku za mwisho.
[emoji106]Komenti za watu wanamkandia tu hapa..[emoji23]
Jamani tutafuteni maisha hapo nae anatafuta ulaji tuacheni maneno maneno.