Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Si unawapata wale jamaa anajigamba, 'mi siogopi ukimwi, ukimwi hauwezi nipata mimi... nileteeni demu mwenye ngoma namla bila ndomu na hamna kitu kitanipata'Mkuu kwa hiyo unakuwaje una kabishia?
Duh! Mzee; Uko serious kweli au unalichangamsha jamvi????Virusi ni vidudu vizembe sana. Zembe sana.
Porini wanyama wanaogopana kwa ukubwa, ndo maana simba anamuogopa tembo. Iweje sie binadamu tukaogope kajitu ambako hadi kwa tochi hakaonekani.!??
Zembe sana😾.
Akili tu mtu wangu, kale hakana nguvu mpaka will yako ikubali matakwa ya kenyewe. Ubishi wako ndo dawa yake. Ndo maana yale mabishi yote yanayokapondaga hayauguagi kabisa no matter what. Yanakula hadi waliothibitishwa, mengine hadi yanajidunga lakini wapi.
Chukua hata kauli za waganga na manabii wanaosemaga ni kama kapepo au shetani kakirusi, ukikakataa ukakakemea kanatoka nduki🏃
Utaskia kajitu kanasema yupo kwenye denial. Kwanza kiherehere tu comment ndeeefu kuliko thread na bado sijajibu swali🤣.
Haya najibu sasa. Ni kwamba hewani hako kadudu zembe hakasavaivu kanatutegemea saana ili kaishi. Kakiwa kwenye damu zetu kanajikongoja kiasi. Lakini hata hivyo sindano ikikuchoma kakaingia katazurula kwenye damu weeeeeh mpaka karuhusiwe kuingia ndani ya seli la sivyo katakufa tena.
Kakiingia kwenye seli kanaanza ushawishi wa kuzalishwa zaidi. Mtu (Will) akikubali kanazaliana, akigoma ndo mwisho wake tena kanakufa!. So ultimately ubishi wako na uimara wa matakwa (will ya ndani) yako ndio utaamua matokeo. Nawasilisha👊
Duuh😳Si unawapata wale jamaa anajigamba, 'mi siogopi ukimwi, ukimwi hauwezi nipata mimi... nileteeni demu mwenye ngoma namla bila ndomu na hamna kitu kitanipata'
Yaani ni ile ubishi literally wala haina maana ilojificha.
Mfano wa kukazia ni kwamba; mwanamke mwenye tabia ya ulaini kukubali kila kitu na kila mtu ana chance kubwa ya kupata ukimwi maana anaukubali.
Lakini wale wagumu, nadra sana kupata ngoma maana ni wabishi by nature 🤔. Tabia ya ubishi inawalinda.
I mean bussiness, ohooo. Kwani broh unafikiri kirusi ni nini haswa. Si ni taarifa tu.Duh! Mzee; Uko serious kweli au unalichangamsha jamvi????
Mkuu, pamoja na kutoa somo/assignment hiyo, documentary haijazungumzia ukweli wa jinsi virus anavyojimaliza yy mwenyewe i.e. ungeweza kuita "Kifo"cha virus. Virus particles anapopata fursa ya kuingia katika seli hai(Living cell) na ikawa ni seli sahihi kwa virus huyo, virus huyo huanza kutoa maelekezo(kama documentary inavyoeleza) lakini wakati huo-huo hutoa vitu viwili(Hujijengea/huzalisha) feron na interferon. Yan ni kama anajijengea pia mfumo wa kujimaliza yy mwenyewe au tuseme anajitengenezea/anajizalishia sumu itakayomdhuru . Nitumie mfano huu japokuwa haukidhi dhana:-Unapokula chakula ; chakula hicho huisha na kama ni kwa chakula hicho ndio unapata uhai; ina maana chakula kikiisha na wewe unaishia hapo. i.e. kula kwako chakula ni kujimaliza ww mwenyewe. Hii ndo mana mtu akipata maambukizi ya Virus na akapona, Ugonjwa huo au virus wa aina hiyo hatakaa aweze tena kumshambulia/kumwathiri mtu huyo. -yan mtu anakuwa Immune dhidi ya kirusi huyo.
Anhaa, kwa maelezo haya inaonesha kwa upande wako unamchukulia kirusi kama active entity, a being!virus huyo huanza kutoa maelekezo(kama documentary inavyoeleza) lakini wakati huo-huo hutoa vitu viwili(Hujijengea/huzalisha) feron na interferon. Yan ni kama anajijengea pia mfumo wa kujimaliza yy mwenyewe au tuseme anajitengenezea/anajizalishia sumu itakayomdhuru .
Comment inenichekesha balaa... nying zimenichekesha lakini si kushinda hili...wazinzi wakiliona hili neno wanang'ata ulimi kwa nguvu na kukimbia uzi fasta
Yeah, ndio hata kwenye documentary imesema ukishapata taarifa ya uongo au kweli kwa mara ya kwanza unaweza kushtuka na kuifanyia kazi kwa juhudi zote.mtu anakuwa Immune dhidi ya kirusi huyo.
Itoshe tu kusema virology ni mada(Topic) ndefu na complicated na bado kuna mengi wanasayansi hawajaweza kutoa maelezo ya kina -utafiti bado unaendelea
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Comment inenichekesha balaa... nying zimenichekesha lakini si kushinda hili...
Anyway na mi ni mzinzi ila nimekomaa nao ivo ivo
Ikiwa virusi vya UKIMWI vinaweza kuishi kwa sekunde 30 tu vinapowekwa hewani, kwa nini tunasema tunaweza kuvipata kutoka kwa sindano ambayo imekuwa chini kwa masaa? 🤔
Ni kweli uko sahihi. Hata wanasayansi wameshindwa kubainisha pasi na shaka kwamba virus ni "living entity" au ni kitu kama "protein crystal" na katika hali hiyo wamemweka kwenye "Border line"Anhaa, kwa maelezo haya inaonesha kwa upande wako unamchukulia kirusi kama active entity, a being!
Mfano mimi naomba niseme kwamba kwa sasa badala ya kusema 'kirusi anatoa maelekezo...'❌
Nitasema maelekezo yaliyobebwa na kirusi✅. Yaani kwa maana nyingine kirusi ndio hilo elekezo jenyewe. (Limetoka wapi?)
Maelekezo yametolewa na seli iliyomzalisha huyo kirusi. Kirusi ni njia mojawapo ya 'cell to cell signaling'
Seli kwa kutengeneza interferon inaweza kuwa ni mbinu ya kuziambia seli nyingine kwamba kuna taarifa hii (kirusi), lakini pia ndugu yangu kuwa makini za kuambiwa changanya na zako (interferon) usifuate kila kitu hasa kama mazingira hayafanani na yangu.
Mfano kwa lugha rahisi ninakuambia hizi ndio njia za kutengeneza sumu kali kabisa ya kufisha (ndo kirusi). Na kabla sijatoa maelekezo nakuambia, bro usijaribu kuandaa maana inaweza kukuua wewe mwenyewe (ndo interferons) au kaandae ukiwa porini peke ako kwa tahadhari hizi na hizi ambazo kwa pamoja ndio tunaita regulation of immune reactions.
Mkuu; kwa maoni yangu/mtizamo wangu(na I stand to be corrected) virus ni protein code fulani yaweza kuwa DNA au RNA ila siyo vyote kwa pamoja. Aidha unaweza kumfananisha virus na protein Free RadicalsYeah, ndio hata kwenye documentary imesema ukishapata taarifa ya uongo au kweli kwa mara ya kwanza unaweza kushtuka na kuifanyia kazi kwa juhudi zote.
Ila taarifa hiyohiyo ikijirudiarudia, hautashtuka tena na ikiwa utaona haina umuhimu kiviiile hautaifanyia kazi/seli haitaifanyia kazi. Unakuwa immune.
Wewe na mimi ni wanasayansi, je unahisi kirusi ni nini. Kina ishi? au si kiumbe hai? Na vipi huyu anayesema kirusi ni taarifa tu ni seli hai ndio zinawasiliana, zinazalisha kusambaza na kufanyia kazi taarifa(virusi) baina yao una maoni gani?
Wazo zuri tu.Mkuu; kwa maoni yangu/mtizamo wangu(na I stand to be corrected) virus ni protein code fulani yaweza kuwa DNA au RNA ila siyo vyote kwa pamoja. Aidha unaweza kumfananisha virus na protein Free Radicals
Protein code kwa maana ikiingia ndani ya cell ina-Hijack codes asili za cell na kujimilikisha utawala na maamuzi ya kitakachofanyika ndani ya cell hiyo iliyoathirika.
Protein Free Radicals kwa maana virus anakuwepo active alimradi mazingira yana mwezesha kuendelea kuwepo. Ikitokea badiliko hasi (negative) anakuwa netralised au inactivated "amekufa"
Narudia tena: I stand to be corrected.