Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Namba 24 iko Poa kabsa,
Njia Pekee ya kuwa mtu unayetaka kuwa ni kujitahidi kuwa bora kuliko jana
 
Uzee si umri bali kutojifunza vitu/mambo mapya yanajitokeza duniani..!

By bigmind
 
Back
Top Bottom