KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
- Thread starter
- #21
Subaru Forester ya kuanzia Mwaka 1999 mpaka 2006 bei yake inakua kati ya 12,000,000 mpaka 13,000,000Mkuu vipi kuhusu subaru foresta kama nikiagizia kupitia kwenu itagharimu kiasi gani?
Gari hizi ni imara na nzuri zaidi kwa safari ndefu. Pia vipuri vyake ni madhubuti
Karibuni sana, bei zetu ni nafuu sana.
#KIMOMWE MOTORS- Save Money, Save Time