Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Agiza gari hii pichani aina ya Subaru Impreza- Sports ya 2012 yenye Km 95,000 na Cc 1600 kwa 15,000,000 gharama zote. Malipo ya awali 7,300,000

Tembele ofisi zetu za Dar au Mbeya au piga 0746 267740.

VideoCollagePG_1625553434065.jpg
 
Nakuunga mkono mkuu... Watanzania tunatakiwa tubadilike, kuagiza gari siyo kazi sana siyo lazima utumie third party 'yaani uagize gari kwenye kampuni ya kibongo kampuni ya kibongo nayo iangize gari enhance, Beforward, sbt n.k' wakati unaweza kuagize wewe mwenyewe kwa kutumia simu yako au laptop yako tu ukiwa popote. Mitandao ya makampuni haya ipo wazi kabisa kwa kila mtu lakini bado mtu anataka apigwe.

Matapeli weng mkuu
 
Injini ya gari Nissan Vannette NV200 ya mwaka 2005 inasumbua.
Natamani kununua nusu injini.
Inapatikana kwa kiwango/bei gani?
 
KUPUNGUA KWA BEI ZA MAGARI

Salam kutoka Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji wa Magari.

USHURU umepungua kidogo hivyo bei za magari zina afadhari (Julisha ndugu na jamaa pia)

Tembelea ofisi zetu za Dar na Mbeya au piga sim 0746 267740 au 0719 989 222

Kimomwe Motors (T) Ltd
Mkuu tunaweza kushauriana kidogo hapo
 
Samahani kwa usumbufu hapa kidogo naomba niulize swali hapa kwa wale unaojua. Nataka ni nunue volkswagen t roc 2018 hii gari ni nzuri san imetulia na ulaji wake wa mafuta ni wakawaida san sasa nilikuwa natak ushaur wenu kwa mafundi au kwa wale wazoefu wa magari unaweza nishauri chochote
 
Hujafanania wanunuz wa Volkswagen. Umekaa Kama mnunuz wa FEKON
 
Back
Top Bottom