Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Hapa mjini sahau. Labda huko vijijini baada ya mavuno unaweza kupata mteja mmoja mkulima kwa mwaka ukamuuzia mkweche huu choka mbaya kwa milioni 9. Hapa ni wazi laptop ndiyo ofisi yako.
 
Mkuu usiharibu riziki za watu, kumbuka anayetangaza biashara yake ana watu nyuma wanaomtegemea sasa unapotoa lugha mbaya kwenye tangazo la mtu sio ustaarab tuliozoea hapa jf.

Pia unasema kwamba hiyo gari ni mkweche, umejuaje ni mkweche angali ipo Japan ndo anatafuta mteja ili aiagize ije Bongo. Kumbuka kibongobongo hiyo ni gari mpya ambayo hata uagize mwenyewe haiwezi kupungua milioni 8 kwa sababu kuna gharama za kuinunua japan, usafirishaji hadi bongo, tozo za bandari, Tra, Tbs na Bima. Hapo ukijumlisha huyo muagizaji labda atapata faida isiyozidi laki tano ambayo ni kama gharama tu ya clearing.
 
Hili ni jukwaa huru. Kama mtu anataka kuingizwa mkenge na huu upuuzi siwezi kumzuia, kama ambavyo wewe au mtu yoyote hamuwezi kunizuia kutoa maoni yangu kuhusu ujinga wa level hii. Akitaka akwatangazie ukoo wake kijijini kwao maana huko hawawezi kumpinga
 
Huyu jamaaa mahakama ya kisutu ana kesi 12 kwa mchezo huhuuu anaagiza gari unampa hela nusu then nusu utamalizia gari ikifika.hilo gari sahau ukiuliza anakwambia nenda popote.
 
Labda kama mna issue zenu nisizojua ila me nimekushauri kulingana na ustaarabu tu wa kawaida, haina haja ya kutumia lugha mbaya kufikisha ujumbe. Pamoja na kwamba hili ni jukwaa huru ila kubwatuka kama ulivyofanya ni ujinga.
 
Kwamba hiyo nusu ambayo umetanguliza anaipeleka wapi?,gari ikifika kama umetoa nusu si unamalizia iliyobaki kisha unakabidhiwa gari yako.
 
Huyu jamaaa mahakama ya kisutu ana kesi 12 kwa mchezo huhuuu anaagiza gari unampa hela nusu then nusu utamalizia gari ikifika.hilo gari sahau ukiuliza anakwambia nenda popote.
Kama ukifanyiwa hivyo lete ushahidi tumunyoshe.
 
Labda kama mna issue zenu nisizojua ila me nimekushauri kulingana na ustaarabu tu wa kawaida, haina haja ya kutumia lugha mbaya kufikisha ujumbe. Pamoja na kwamba hili ni jukwaa huru ila kubwatuka kama ulivyofanya ni ujinga.
Upuuzi na masihara vinajibiwa kwa lugha ya kipuuzi na masihara. Hakuna mtu anayemchukulia huyo jamaa yako seriously labda huko kwao milimani na mabondeni.
 
Hili ni jukwaa huru. Kama mtu anataka kuingizwa mkenge na huu upuuzi siwezi kumzuia, kama ambavyo wewe au mtu yoyote hamuwezi kunizuia kutoa maoni yangu kuhusu ujinga wa level hii. Akitaka akwatangazie ukoo wake kijijini kwao maana huko hawawezi kumpinga
Nakuunga mkono mkuu... Watanzania tunatakiwa tubadilike, kuagiza gari siyo kazi sana siyo lazima utumie third party 'yaani uagize gari kwenye kampuni ya kibongo kampuni ya kibongo nayo iangize gari enhance, Beforward, sbt n.k' wakati unaweza kuagize wewe mwenyewe kwa kutumia simu yako au laptop yako tu ukiwa popote. Mitandao ya makampuni haya ipo wazi kabisa kwa kila mtu lakini bado mtu anataka apigwe.
 
Gari hizi tembelea jijini

Usigejichanganya upo zako sumbawanga na wewe unataka kuimiliki unaweza kua na pesa na spare usipate,unaweza kuwa na spare na fundi usipate au unaweza pata fundi anarekebisha hiki anaharibu hiki.
Hizo ni mental zimepitwa na muda sasa , huwezi kuacha kununua gari eti kisa porojo zako zilizopitwa na wakati ,kila mahali kwa sasa mafundi wengi wameji update , ...na wanavitendea kazi spare kenya na mtandaoni zipo zimejaa dunia sasa ni kijiji ,acha uwoga wa kufurahia maisha

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom