Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Gari hizi tembelea jijini

Usigejichanganya upo zako sumbawanga na wewe unataka kuimiliki unaweza kua na pesa na spare usipate,unaweza kuwa na spare na fundi usipate au unaweza pata fundi anarekebisha hiki anaharibu hiki.
Dunia hii ya kisasa na utandawazi. hakuna mahali utakosa spare hata kama ni za kuagiza. labda wawe wameacha kutengeneza hizo gari
 
Dunia hii ya kisasa na utandawazi. hakuna mahali utakosa spare hata kama ni za kuagiza. labda wawe wameacha kutengeneza hizo gari
Wadanganye wadau hivyo hivyo,Kuna mwana alitaka kuagiza Mazda CX-9 ya 2010's ni jamaa wa huko igunga tukamshauri chuma ya kuendana na mazingira yake akakata ushauri,akajibu hivyo hivyo ooh dunia ni Kijiji nitaagiza spea,limesha mzinguaga akaliuza huko Mwz kwa Bei ya kutupa.,ni mtu wa pili kutoka huko huko naona anavyoteseka.

Unakaa huko maporini ambako hakuna hata diagnosis machine afu unanunua kitu complicated,aisee utajua hujui.
 
Na zina mwaga moto, kuna kamoja kalinitoa jasho kalikuwa sijui kama mazda gani na mie nilikuwa na Range Sport ya kutumwa aseee, ila nilikakomesha hakuja nione tena hadi naingia kidimbwi beach 😀😀😀😀.. tuliachana Shinyanga pale
Hahah tatizo Volvo nyingi ni sura zake zinakua mbovu mbovu kishenzi.labda siku hizi ndio wanajitahd kuzipa shape nzuri.
 
Wadanganye wadau hivyo hivyo,Kuna mwana alitaka kuagiza Mazda CX-9 ya 2010's ni jamaa wa huko igunga tukamshauri chuma ya kuendana na mazingira yake akakata ushauri...
umesoma ulichoandika. Kumbe spear zipo ila bei haishikiki. Halafu alitegemea nn kununua gari la 2010?

mm ninachozungumzia ni upatikanaji wa spear. sio bei kwanini ununue gari ya kisasa na unakaa maporini? hizo ni bad choice za muhusika.

kama ww huwez kuhudumia gari.. haimaanish wengine hawawezi. nunua gari ya uwezo wako. Ukiwa mjini na una mbumba.. hata spear online wanaagiza regardless bei.
 
umesoma ulichoandika. Kumbe spear zipo ila bei haishikiki. halaf
alitegemea nn kununua gari la 2010?

mm ninachozungumzia ni upatikanaji wa spear. sio bei
kwann ununue gari ya kisasa na unakaa maporini? hizo ni bad choice za muhusika.

kama ww huwez kuhudumia gari.. haimaanish wengine hawawezi. nunua gari ya uwezo wako.
ukiwa mjini na una mbumba.. hata spear online wanaagiza regardless bei.
Hahah ujuaji ni Jambo hatari Sana.
 
Na zina mwaga moto, kuna kamoja kalinitoa jasho kalikuwa sijui kama mazda gani na mie nilikuwa na Range Sport ya kutumwa aseee, ila nilikakomesha hakuja nione tena hadi naingia kidimbwi beach 😀😀😀😀.. tuliachana Shinyanga pale
Ile ni XC60 tena ulikutana na T5, ungekutana na T6 ungejua hujui labda RR yako iwe Super charged.
 
Gari hizi tembelea jijini

Usigejichanganya upo zako sumbawanga na wewe unataka kuimiliki unaweza kua na pesa na spare usipate,unaweza kuwa na spare na fundi usipate au unaweza pata fundi anarekebisha hiki anaharibu hiki.
Nina wadau wako Songea wana hizi gari, mwingine yuko huko huko Sumbawanga,Katavi wana hizi gari miaka kadhaa sasa. Information is power, spares wanapata ndani ya 12 or 24hrs.

Siku hizi watu wanatuma vitu mikoani kwa ndege. Natumaini hadi unaamua kumiliki gari ya aina hii wewe ni mtu ambae unaweza kutafuta information kiganjani kwako.
 
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari.

Agiza Toyota Vitz pichani kwa 9,200,000. Cc 1300, Km 52,000.

Awali lipa 4,800,000. Fika ofisi zetu Dar- Magomeni Mapipa, Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya

au Piga 0746 267740

VideoCollagePG_1624867313488.jpg
 
Back
Top Bottom