Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Uzuri na ubaya wa kitu upo kwenye macho ya mhusika.

Kwa sura hiyo hiyo ilishinda tuzo ya Motor Trend's SUV of the year kila mara Volvo walipotoa toleo jipya. Hadi sasa kuna matoleo mawili tu: la kwanza 2002-2014 na la pili ni 2015-to date.
Nakubali mkuu.

Ni vile tu Mimi na hio machine hatujawahi kupatana tu.
 
Ukita road usiwe na mpinzani uwe na gari kama ferrari au bagati.. tena yenye 800HP na Torque hata 756.. hapo utakuwa mbambe kwa asilimia zote
Siyo lazima hizo. Volvo XC90 T8 iliyo turbocharged na supercharged kwa gari zilizomo kwenye barabara zetu hapa Minazini, unakuwa mbabe.

Ukishindwa hapo mbona hata akina Audi RS3, RS4, RS5, RS6 nazo unakuwa hauna mpinzani. Hapo sijasema akina Mercedes E63, S63 n.k.

Ferrari na Bugatti ni mbali sana huko.
 
Hiyo Audi RS6 unakuwa unashindana mwenyewe tu kwa hizi barabara zetu 😀😀😀
 
Siyo lazima hizo. Volvo XC90 T8 iliyo turbocharged na supercharged kwa gari zilizomo kwenye barabara zetu hapa Minazini, unakuwa mbabe.

Ukishindwa hapo mbona hata akina Audi RS3, RS4, RS5, RS6 nazo unakuwa hauna mpinzani. Hapo sijasema akina Mercedes E63, S63 n.k.

Ferrari na Bugatti ni mbali sana huko.
Pia safety ya Volvo ipo juuu
 
In summary ukiwa na gari yenye kuanzia 450 hp unakuwa kwenye 1% ya magari zenye nguvu Tz.
 
Back
Top Bottom