Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
AGIZA HII PICHANI

Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Land Rover Freelander ya 2002. Inatumia Petrol, Cc 2500. Kilomita 75,000. Speed 220

Gari hiyo inaweza kuwekewa Injini ya Toyota ya 3S yenye Cc 2000

Gharama zote 17,500,000. Malipo ya awali 7,800,000

Tembelea ofisi zetu za Dar- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya

Kujiunga na Group zetu za Whatsapp piga 0746 267740 au 0719 989 222
IMG_20210519_141029_781.jpg
 
Salam!

Kimomwe Motors (T) Ltd tumesogeza huduma zetu kwa Wakazi wa nyanda za juu kusini ambapo tumefungua tawi Jijini Mbeya.

Ofisi ipo Soko Jipya Mwanjelwa. Zaidi piga sim 0746 267740 au 0719 989 222

IMG_20210527_115401_411.jpg
 
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Pichani ni Nissan Xtrail ya 2002. In Cc 2000 (inaenda km 12 kwa lita). Km 91,000. 4WD.

Gharama zote 13,300,000. Awali lipa 7,000,000

Zaidi tembelea ofisi zetu za Dar- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya.

Au piga 0746 267740 na 0719 989 222

IMG_20210608_101521_887.jpg
 
Kwamba mteja analipa kwa installments?
 
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Baadhi ya Gari za chini ya 11m

1. Toyota Vitz (9m- 10.5m)
2. Toyota Raum (10m- 11m)
3. Toyota Sienta (10m- 11m)
4. Toyota Passo (8.5m- 9.5m)
5. Toyota Ractis (10m- 11m)
6. Toyota Porte (10m- 11m)
7. Toyota Funcargo (10m- 11m)
8. Nissan March (10m- 11m)
9. Honda Fit (10m- 11m)
10. Suzuki Wagon (8.5m- 10m)
11. Daihatsu Terious Kid (9.5m- 10.5m)
12. Daihatsu Mira (7.5m- 9m)
13. Suzuki Swift (10m- 11m)
14. Daihatsu Move (10m-11m)
15. Suzuki Kei (9m-10m
16. Mitsubishi Pajero mini (9.5m- 10.5m)
17. Mazda Demio (8.5m- 10m)

NB: Hizo chache hapo juu ndio walau zimeagizwa hivyo kufanya upatikanaji wa vifaa usiwe tabu sana

Zaidi Tembelea ofisi zetu za Dar na Mbeya au Piga 0746 267740 au 0719 989 222

VideoCollagePG_1623144535684.jpg
 
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Baadhi ya Gari za chini ya 11m

1. Toyota Vitz (9m- 10.5m)
2. Toyota Raum (10m- 11m)
3. Toyota Sienta (10m- 11m)
4. Toyota Passo (8.5m- 9.5m)
5. Toyota Ractis (10m- 11m)
6. Toyota Porte (10m- 11m)
7. Toyota Funcargo (10m- 11m)
8. Nissan March (10m- 11m)
9. Honda Fit (10m- 11m)
10. Suzuki Wagon (8.5m- 10m)
11. Daihatsu Terious Kid (9.5m- 10.5m)
12. Daihatsu Mira (7.5m- 9m)
13. Suzuki Swift (10m- 11m)
14. Daihatsu Move (10m-11m)
15. Suzuki Kei (9m-10m
16. Mitsubishi Pajero mini (9.5m- 10.5m)
17. Mazda Demio (8.5m- 10m)

NB: Hizo chache hapo juu ndio walau zimeagizwa hivyo kufanya upatikanaji wa vifaa usiwe tabu sana

Zaidi Tembelea ofisi zetu za Dar na Mbeya au Piga 0746 267740 au 0719 989 222
View attachment 1812325
Duh
Kumbe gari zimepanda bei aisee. Hivi vibajaji ndio bei hiyo?
 
Uzi mzuri huu kwa watu wenye nia ya kununua magari ya bei nafuu.

Asante mleta mada.
 
Back
Top Bottom