Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Agiza Mercedes Benz- C Class ya 2007 yenye Cc 1800 (Km 12/L), Km 42,000, viti vya ngozi, parking sonsors, options kwenye usukani, speed 260.

Gharama zote ni 20,500,000. Awali lipa 12,600,000.

Zaidi tembelea ofisi zetu za Dar au Mbeya au Piga 0746 267740 au 0719 989 222

IMG_20210615_150201_487.jpg
 
Watu wameshindwa kwenda Beforward.com au website nyingine kuchagua kati ya magari 10+ yanayofanana hadi waamue kununua gari moja kutoka kwako? Kwanini usingewauzia watu wa ukoo wenu tu washamba wawe wateja wako pekee maana wanakuamini?
 
Watu wameshindwa kwenda Beforward.com au website nyingine kuchagua kati ya magari 10+ yanayofanana hadi waamue kununua gari moja kutoka kwako? Kwanini usingewauzia watu wa ukoo wenu tu washamba wawe wateja wako pekee maana wanakuamini?
Duhh.....We hawa jamaa wamekuudhi nini?
 
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagiza Magari

Rosa viti 29- manual gia 6. injini 4D34- Turbo Intercooler. Air Suspension. Hii ni mbadala wa Coaster yenye 1HDT Valve 24 inayogharim 50m+

Gharama zote ni 38m Malipo ya awali ni 26.8m

Tuna ofisi Dar na Mbeya au piga 0746 267740

IMG_20210616_131835_572.jpg
 
IJUE VOLVO XC 90

Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari

Utangulizi
Gari hii yenye inayotengenezwa nchini Sweeden, iliingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ikishindanishwa na Mercedes Benz G Class, Jeep Grand Cherokee, pamoja na BMW X5

Injini na Mafuta
Petrol ina Cc 2500 ina Turbo inakadiriwa kwenda Km9/L wakati ya Cc 3000 inakadiriwa kwenda Km7/L.

Diesel ina Cc 2400 na inakadiriwa kwenda km 12 kwa lita.

Vifaa
Vifaa ni vichache kwa gharama za juu japo uzuri ni kwamba vinadumu mda mrefu. Uzuri mwingine ni kwamba gari hizi zinaongezeka kwa kasi kubwa nchini sababu watanzania wengi wamegundu hii ni moja ya gari zenye usalama mkubwa za bei ndogo hivyo vifaa vinazidi kuongezeka.

Nyongeza
Airbags 8, Ngozi, Viti 7, Option za Usukani, Fm inayofika 107 badala ya 90.

Maoni na Ushauri
Kwa sababu za usalama mfano wizi wa magari, Kukinga abiria wote walio ndani, kuepuka safari za mara kwa mara garage, hii ni gari unayoshauriwa kuiwazia kwa haraka.

Changamoto ni gharama kubwa za vifaa pindi vitakapohitajika.

Gharama
Kwa kuagiza ya Petrol inaanzia 20m wakati ya Diesel inaanzia 27.5m

BK077910_99ced7.JPG
BK077910_dc7989.JPG
BK077910_cf733b.JPG
BK077910_d5c948.JPG
BK077910_c752d3.JPG
BK077910_36bc7f.JPG
BK077910_367cd5.JPG
 
Back
Top Bottom