Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hii ndiyo ina hadhi ya mzee mwinyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
XT old model inaanzia kwenye 13.5m wakati model mpya inaanzia kwenye 20mNipatie bei ya Subaru Forester XT....nijipime kwanza
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hiyo pichani ina km 100,000, zipo zenye km chini ya 90,000 unazipata kwa 18mHizo gari zimetembea KM ngap?
X3 ina injini aina 2 tofauti zenye Cc 2500. Injini bora inayoshauriwa isiyosumbua sana kwenye umeme ni ile ya code 256s....ukichukua ile ya Cc 2500 yenye code N52B25A ina uwezekano wa kusumbua umeme siku za badaeKuna moja ilinitamanisha..nikaambiwa maumeme yake yakianza utaisusa...najichanga nichkue miss tanzania rav4 ya 2009 isiyo na tyre nyuma
Mkuu hebu weka picha zao tufananishe...XT old model inaanzia kwenye 13.5m wakati model mpya inaanzia kwenye 20m
kiukweli product yoyote ya Mjerumani naikubali sana ataingekuwa na piston 16 na zaidi hakuna gari mbovu kwa uzoefu wangu sasa tangu nianze kumiliki magari nina uzoefu miaka 15 na nimekuwa na brand tofauti... gari ya kijapani ni nzuri sana kwasababu spear zake copy ni nyingi ila mjerumani hana copy... ila gari zake zimezingatia usalama barabarani ni gari ipo salama sana unapokuwa unasafiri inashika barabara...X3 ina injini aina 2 tofauti zenye Cc 2500. Injini bora inayoshauriwa isiyosumbua sana kwenye umeme ni ile ya code 256s....ukichukua ile ya Cc 2500 yenye code N52B25A ina uwezekano wa kusumbua umeme siku za badae
Hahahah yani ukiongeza 2 ingine una ka vitsbei ya shock up ukiongeza kidogo unasukuma ki vitz kiroho safi kabisa [emoji3]
Shukrani chief..X5 inaanzia 26m gharama zote na XC90 imeshuka kutoka 30+m na sasa utaipata kati ya 20m mpaka 21m
XT old modelMkuu hebu weka picha zao tufananishe...
Za 2003 mpaka 2006Shukrani chief..
Hapo ni za mwaka gani?
Vinataka hela za kama mchanga! Ukiwa unaogelea kwenye 100M au zaidi na mambo yako yanaenda unaweza miliki mjerumani yeyote tu anaekupendezaMara unaambiwa kwenye shockup kuna sensa haiingiliani na mfumo wa umeme wa gari, inabidi ubadilishe sijui nini🤣
kaka naambiwa aud ziko vizur sn kwenye ulaji ws mafuta,je ukweli upojeZa 2003 mpaka 2006