Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan
KUPUNGUA KWA BEI ZA MAGARI

Salam kutoka Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji wa Magari.

USHURU umepungua kidogo hivyo bei za magari zina afadhari (Julisha ndugu na jamaa pia)

Tembelea ofisi zetu za Dar na Mbeya au piga sim 0746 267740 au 0719 989 222

Kimomwe Motors (T) Ltd
 
Unadhan wanapata sana faid kaka..faida ya gar umepata sana 800k..hapo umempiga mnunuajj...wengne faida had 300k
Kwa sisi Kimomwe Motors malengo ni kupata kidogo leo ili tupate ridhaa ya kuhudumia watanzania wengi zaidi kesho na kesho kutwa tutapata kikubwa kutoka kwa walio wengi. Kikubwa ni huduma bora yenye kuacha alama kuanzia kumsikiliza mteja na kumshauri kitakachomfaa
 
Back
Top Bottom