Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Pajero Sport je ?Mitsubishi Pajero yenye injini ya diesel ya 4M40 ni imara na inavumilia shida Sana.Ni gari iliyodharaurika ingawa haina shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pajero Sport je ?Mitsubishi Pajero yenye injini ya diesel ya 4M40 ni imara na inavumilia shida Sana.Ni gari iliyodharaurika ingawa haina shida.
Zipo mpaka sasaNafikiri engine za 4M40 zipo kwenye Pajero za matoleo ya miaka ya nyuma na ndio maana Pajero za 80’s na 90’s ziliweza kupambana na akina Land Cruiser pamoja na Nissan Patrol. Ila hizi latest sina imani nazo sana
Kama ipi kaka?!Zipo mpaka sasa
Labda ya mbao mkuu.Mkuu ni 5m naweza para premio?
Hahahahahahahhh.Labda ya mbao mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda ya mbao mkuu.
Kama hizo alizopost Kimomwe Motors.Kama ipi kaka?!