Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hizi ni propaganda sasa!Yaani lita moja ya mafuta inaenda 30KM?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inatumia umeme na petrol, ni hybrid hio mbona zipo zinakwenda zaidi ya hapo.Hizi ni propaganda sasa!Yaani lita moja ya mafuta inaenda 30KM?!
Samahani mkuu,sikujua kama ni hybrid!Mkuu inatumia umeme na petrol, ni hybrid hio mbona zipo zinakwenda zaidi ya hapo.
Nyie mnaamini usafiri wa baiskeliHivi kwa nini makampuni mengi ya kuagiza magari hawana ofisi jiji la Mwanza?
Ni Dar, Arusha, Dodoma.
Last time I checked ilikuwa ni Beforward pekee!
Hiyo ni hybrid car, inakwenda hizo km kama kawaida!Mkuu ni typing error au upo sahihi kuwa inaenda Kilimota 38 kwa lita moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Simba jana ndo waiifunga Mwadui goli tano au?spare vipi?
Zina shida gani aisee!!Mitsubishi sijawahi kuwakubali kwa gari ndogo hasa SUV. Nadhani ndio maana gari zao ni bei rahisi
Mitsubishi Pajero yenye injini ya diesel ya 4M40 ni imara na inavumilia shida Sana.Ni gari iliyodharaurika ingawa haina shida.Mitsubishi sijawahi kuwakubali kwa gari ndogo hasa SUV. Nadhani ndio maana gari zao ni bei rahisi
Nafikiri engine za 4M40 zipo kwenye Pajero za matoleo ya miaka ya nyuma na ndio maana Pajero za 80’s na 90’s ziliweza kupambana na akina Land Cruiser pamoja na Nissan Patrol. Ila hizi latest sina imani nazo sanaMitsubishi Pajero yenye injini ya diesel ya 4M40 ni imara na inavumilia shida Sana.Ni gari iliyodharaurika ingawa haina shida.
Sio reliable sana kama Toyota. Ndio maana hata Mitsubishi Pajero huwezi kuzipambanisha na LC ama Nissan Patrol.Zina shida gani aisee!!