Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina gani?Yangu mpya kabisa nauza 15
Kwanini unauza na ni mpya! Si utumie tuYangu mpya kabisa nauza 15
Picha bossYangu mpya kabisa nauza 15
Kwanini unauza na ni mpya! Si utumie tu
hiyo park mlangoni kwako 😎😎16.9 mpaka inafika mkononi au bandarini?
Humo nitahamia nikishafanikiwa kupambana na adui wa kwanza nikamshinda kwa asilimia 150%Acha woga mkuu.
All the best.Humo nitahamia nikishafanikiwa kupambana na adui wa kwanza nikamshinda kwa asilimia 150%
UMASIKINI...MARADHI...UJINGA
On a serious note, kama unaweza kuishi na Subaru au Nissan gari ya Ulaya haiwezi kukushinda.Humo nitahamia nikishafanikiwa kupambana na adui wa kwanza nikamshinda kwa asilimia 150%
UMASIKINI...MARADHI...UJINGA
Hazipishani sana au sioOn a serious note, kama unaweza kuishi na Subaru au Nissan gari ya Ulaya haiwezi kukushinda.
YeahHazipishani sana au sio
TutapambanaYeah